who is he/she?
nafurahi kusikia upo njema mkuu..! usisahau kulima na mpunga , na akizama muendesha mtumbwi mmoja naomba iyo nafasi nije nijazie mie...
Shemeji vipi tena?Na mie natafuta marafiki wa kuchart nao...
Sasa hivi tumeacha kulima, tumeamua kwenye haya haya maji ya mafuriko tufuge Samaki...
Hiyo kazi mbona ushapata kaka mkubwa...
dadi heshima yako..! mtoto wa mama anendeleaje? mimisa mie simtambui na hayumo katika empire yangu
Shemeji vipi tena?
HeheheheeeYupo kafichwa na Mwajuma ndalandefu Tandale kwa tumbo.
Copy: The secretary
mchukueni tu mie hata sina shida nae
dadi.. mh! hili halina muafaka... limepitishwa mama mdogo ameniambia kamanda arudi nyuma
Kwa mwanangu ukileta makitu ya hivyo..., wallah naondoa huo mguu mdogo kwa koleo...
dadi.. mh! hili halina muafaka... limepitishwa mama mdogo ameniambia kamanda arudi nyuma