Natafuta rafiki wa ku chart nae jamani....

Natafuta rafiki wa ku chart nae jamani....

Wewe ni ME au KE?

mie ni

Dwarf_he-goat_J1.jpg
 
Mimi sijambo...huku kwetu mvua zinanyesha sana
Nimeamua nifungue biashara ya kukodisha mitumbwi maana mtaani maji yamejaa kama bahari

_52630791_52630790.jpg


watu8 hujambo?

Age: yangu ni miaka 4! + ......

Sex: Jamiiforum

Location: CHINI YA TUKUTUKU KWA BABU KALIKUU
 
Mimi sijambo...huku kwetu mvua zinanyesha sana
Nimeamua nifungue biashara ya kukodisha mitumbwi maana mtani maji yamejaa kama bahari


nafurahi kusikia upo njema mkuu..! usisahau kulima na mpunga , na akizama muendesha mtumbwi mmoja naomba iyo nafasi nije nijazie mie...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom