Natafuta rafiki wa kike

Habari wana jamvi Mimi ni kijana wa kitanzania ningependa kuchukua fursa hii kutafuta rafiki wa kike akiwa Dodoma itapendeza zaidi umri kuanzia 20 hadi 30 .....anipm namba take akiwa tayari
 
Mtume Paulo ni Muhuni kuliko kiukbe yeyote duniani...

Sent using Jamii Forums mobile app
Muhammad amezidi kwa uhuni: Kuoa vijukuu vyake, kuua wanaume ili kuoa wake zao, kudanganya watu eti kunywa mkojo wa ngamia ni dawa wakati uchafu, kufanya watu weusi watumwa, kudanganya eti Quran imeshushwa na eti Allah mungu wakati ni mungu wa wapagani wa arabia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya lete ushahidi sasa haya yooote uliyoyasema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimebadili dini nimekuwa muislamu kuanzia jana. Sasa nipatie contact alafu tufunge ndoa ya mkeka, nikikushughulikia nakupa taraka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msema kweli mpenzi wa Mungu, "afichaye uchi hazai", "kizuri chajitembeza, kibaya chajiuza"...
Usingejali dini tu ungenipata...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…