Mimi sio msumbufu tuwe marafiki basi joanah😔Huyo rafiki utakayempata atapata tabu sana inaonekana wewe msumbufu
Asante sana best .karibu na Pm🤝Karibu @Jafarinho rafiki yangu wa JF
Ukipata wengi, nipunguzieNatafuta rafiki wa kike nipo Dar es salaam,Mimi ni mwanaume wa miaka 28,dini Mkristo, njoo PM kwa maelezo zaidi
😂😂😂 umeniwahi nilitaka niseme hivyo hivyoKuanzia jumapili hadi leo ijumaa umeshaweka nyuzi 6 za kutafuta rafiki
Huyo rafiki utakayempata atapata tabu sana inaonekana wewe msumbufuuuu
😂😂 huyu ni ile aina ya mtu akikutext ukachukua dakika kadhaa bila kumjibu analalamika😂😂😂 umeniwahi nilitaka niseme hivyo hivyo
Marafiki tukajifiche Pm kutafuta Nini,hapa hapa sebuleni ndo pazuri!Bado,....tunaweza kuwa marafiki Karibu pm
😂for more conversationMarafiki tukajifiche Pm kutafuta Nini,hapa hapa sebuleni ndo pazuri!
Msg zinaingia 6 zote malalamiko tu 🙌😂😂 huyu ni ile aina ya mtu akikutext ukachukua dakika kadhaa bila kumjibu analalamika
Kila la heri kwa rafiki zake 😶Msg zinaingia 6 zote malalamiko tu 🙌
Kwa kweli 😎😂Kila la heri kwa rafiki zake 😶
Endelea kusubiri watakuja tu!😂for more conversation
Sio Mimi nimemjibia😔Endelea kusubiri watakuja tu