Hadi mimi how?Hadi wewe naanza kuishiwa PAWA, sawa bhana π
πusaliti tena ππ kwani hukuona zile comments?Sikutegemea utanisaliti, jana ulisema wewe ni mpole!
Basi π€£ mimi nitoe subiri watakuja MkuuNifundishe kunyamaza, hebu soma title...
Umeshaweka tangazo ...Endelea kunywa mtori nyama utazikuta chiniTaja mmoja.
Sawa ukimpata usisahau kututambulisha.Haha ngoja tuone
Umejyuwaje (mboneke)Kijana Masikini kumbe ushampata Maryπππ
Basi utajua mwenyewe πUkishakubali hamna kutolewa, kumbe sijakwambia mapema.
ππ€Umejyuwaje (mboneke)
ππππhaszu na connections pia wanataka urafiki naww mcheze kibaba baba
π€£Upwiru utakuua.