Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,570
Nimeitikia wito mkuu.Pyaar kwanini unakuwa mkorofi, mjibu intel apate amani ya moyo
Emergency Rescue Team mnahitajika
Edo kissy
Razorblade
dosho12
Rekebisha hapo ume kosea kuandika, ana papatikiwa Sana.Nimeitikia wito mkuu.
Shida ya Rais wangu anapaoatikiwa sana sasa wengine wanaamua kujiweka pembeni hawataki hekaheka.
Mr Prezoo Intelligent businessman tupo pamoja, hii tunabeba π
Nimerekebisha mkuu πRekebisha hapo ume kosea kuandika, ana papatikiwa Sana.
Beside nami si nina macho jamani ππ€£
Rais ananyota ya huba πHaha kumbe wamepanga foleni huko PM!
Achana na rumours za Razorblade π€£πHaha kumbe wamepanga foleni huko PM!
Mkuu, nawe unaamini alisemalo?Pyaar kwanini unakuwa mkorofi, mjibu intel apate amani ya moyo
Emergency Rescue Team mnahitajika
Edo kissy
Razorblade
dosho12
Yule c ni mwehu, asha niambia eti nina shida gani π€£Nimerekebisha mkuu π
Kuna yule anayekukomalia kila akikuona kwenye uzi wowote π
Mkuu usi niambie huoni kitu kabisa?, hata cheche hazi onekani kwenye ka pm Kakoπ¦ πWe kaka wewe!
Mungu anakuona.
π
Mkuu tumeitwa ili tuongeze nguvu ya ushawishi halafu unanikataa tena πAchana na rumours za Razorblade π€£π
Basi natuliaMkuu tumeitwa ili tuongeze nguvu ya ushawishi halafu unanikataa tena π
Yule yuko serious sana na harakati zake πYule c ni mwehu, asha niambia eti nina shida gani π€£
Bila kupoteza muda tafadhali mzingatie kwa makini Rais wetu, hana baya kabisa.We kaka wewe!
Mungu anakuona.
π
hatari kwa usalama yule ππ¦Yule yuko serious sana na harakati zake π
Kwenye nini niitweπ€Mwite na Mama Ndege
Nitemwe na nani, mimi sina mtu huku mbonaπUmetemwa huyu kijana ni muhuni
Na huu uzi ukiwa trend tu jua umeisha πhatari kwa usalama yule ππ¦