Natafuta Pump ya Mafuta

Natafuta Pump ya Mafuta

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
61,253
Reaction score
100,028
Nina mpango wa kufungua mahali pa kuuzia mafuta ya Taa hapa Kijijini kwetu, naombeni msaada wenu ni wapi naweza kupata mashine (pump) maana tank nimeshalipata. Mwenye mawazo jinsi ya kupata hizi mashine tuwasiliane na nitakuwa natumia Genereta au Handle maana hapa kijijini hakuna umeme.
 
Ni ya kununua sio ya kukodisha au ya sadaka, it is businesss.......
 
Back
Top Bottom