Habari wana JF.
Natafuta mpishi amabae yupo tayari kufanya kazi na UK company amboyo inabranch dar. Vigezo ni awe profesional one ambae ana experience na foreigners na kama ameshafanya kwenye tourist hotel itakuwa aded advantage. Pia awe anajua kingereza na awe mchangamfu sio mropokaji. Age ni less than 36. Sex ni male. Awe tayari kuanza kazi trh 1 mwezi ujao.Mwenye vigezo naomba anipm no yake nitampigia. Dedline next week j4.