hiyo sio mistake ya ku-ignore, anahitaji kujipanga aisee. namna hii unashangaa hupati ukurugenzi na hata kama unajiajiri u will rarely make it international!!
Kwa wewe wa tabora inaweza kuwa rais kuagiza na kupata hiyo power supply kutoka ebay au amzon kuliko kutoka dar. kama watu wanaohusika na mambo hayo wasipooona tatizo lako hapa na kama unayo VISA card au kama una mtu mwenye paypal mwambie akuagizie within two weeks utakuwa umepata
Duh! kweli walimu siku hizi hakuna, what the hell is "SUPPRY"?????? kuna mwingine humu alisema anatafuta "FLAME" ya duka mwingine juzi juzi akasema naomba msaada "ANABDREED" damu kibao. C'moon guys, something is very wrong somewhere and need to be addressed!!!!!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.