JZHOELO
Senior Member
- Sep 20, 2011
- 196
- 363
Wakuu habari,
Nilikuwa naomba kuuliza kama kuna yeyote anayefahamu au anayejua nani au wapi nitapata ps4 kwa bei ya laki 7 tu.. (700k).
Hata kama ina pad moja ila najua itakua katika hali nzuri maana zote hazijazeeka sana.
Mwenye kuuza naomba tuwasiliane whatsapp no 0659086226.... Au 0714621992
Napatikana mwanza tu..