Natafuta pimbi wa kufuga

Natafuta pimbi wa kufuga

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,939
Reaction score
37,818
Heshima mbele wakuu! Kwa anayejua wapi naweza kupata pimbi wa kufuga anijulishe tafadhali. Wanahitajika as soon as possible. Kama unao wa kutosha tafadhali inbox me au weka namba yako hapa nitakupigia. Na kwa wale wenye uzoefu na ufugaji wa hawa wanyama tafadhali naomba mnijuze A-Z ya wanyama hawa.

With much thanks in advance!
 
Kisa cha kutaka kuwafuga ningependa kukijua! NACHOJUA HAWA TULIWAFUGAGA ENZI ZA UTOTONI au niambie una umri gani mwenzet
 
Kisa cha kutaka kuwafuga ningependa kukijua! NACHOJUA HAWA TULIWAFUGAGA ENZI ZA UTOTONI au niambie una umri gani mwenzet

Wanatumika kwenye kafara kaka!!!
 
Duh! Asavali umejisemea ukweli.... a.k.a mtaalamu

Yeah kaka Billie ametaka kujua nawahitaji pimbi kwa sababu gani. Wanatumika kwenye kafara. Kafara ya pimbi ina nguvu sana kaka! Mdudu mwingine mwenye nguvu za ajabu kwenye kafara ni KIBIRINGISHA MAVI au SCARAB kwa kiingereza. Kama kuna mtu anaweza nisaidia namna ya kuwapata hawa viumbe, ani inbox tufanye biashara.

images
scarab_699_600x450.jpg


Picha za kibiringisha mavi hizo hapo
 
Nilifikiri Pimbi a.k.a Dr love wa sani
 
LIKUD

Pimbi huyu dk au?
fafanua mkuu, naweza kuwa nawaona bila kuwajua, weka hata kapicha.
 
Last edited by a moderator:
Tupeni hata jina lake kwa kidhungu basi ili tuweze kum-google tuone anafananaje...mie namjua wa kwenye sani tuu
 
Yaani huyu mnyama idadi ya maini yake inaendana na umri wake.
 
Back
Top Bottom