angalia juu ya laptop ina sticker ya nvidia au Ati (radeon) kama hamna click search kwenye pc halafu andika dxdiag then fungua program angalia kama kuna nvidia gpu au ati tena.Chief hapo kwenye dedicated gpu umeniacha kidogo..sijaelewa
Chief, nami naomba nichomekee swali langu, nafanya kazi za graphic design mostly natumia adobe ni laptop ya spec gani itanifaa na bei yake yaweza kuwa kiasi gani (used) kwa dsm? pia ni vitu gani vyakuzingatia wakatu wa manunuzi?angalia juu ya laptop ina sticker ya nvidia au Ati (radeon) kama hamna click search kwenye pc halafu andika dxdiag then fungua program angalia kama kuna nvidia gpu au ati tena.
deficated gpu ni gpu ya pili ambayo huekwa kwenye computer sababu gpu ya processor yako inakuwa haina nguvu.
adobe photoshop? au pamoja na za video kama after effect na premiere?Chief, nami naomba nichomekee swali langu, nafanya kazi za graphic design mostly natumia adobe ni laptop ya spec gani itanifaa na bei yake yaweza kuwa kiasi gani (used) kwa dsm? pia ni vitu gani vyakuzingatia wakatu wa manunuzi?
Ok nashukuru natumia illustrator and photoshop unaweza nitumi link inayo onyesha aina ya laptop na spec zake? ili iwe rahisi kujua wakati wa kuinunua maana nategemea kuichukulia kkoo au machinga complex maana hizo ndyo sehemu nlizo ona wanauza laptop used, kama unavyo jua wale jamaa wanaongea balaaa wasije wakani shawishi kwa spec ambazo sio nataka nieende nikiwa spec zangu alikini.adobe photoshop? au pamoja na za video kama after effect na premiere?
photoshop utahitaji tu ram nyingi kuanzia 8gb na gpu ya kawaida kuanzia 4th gen igp yake inafaa au ikiwepo gpu kama 940m sio mbaya.
kama unahitaji kwa ajili ya video inabidi ununue pc ya i7 quad, hazipo nyingi bongo ila ukitulia unazipata.
bei andaa kwenye 400,000 hadi 1,000,000 itategemea na muuzaji ila ukitulia haivuki 500,000
specs zinaekwa kwenye website ya manufacture mkuu hizi ni za photoshopOk nashukuru natumia illustrator and photoshop unaweza nitumi link inayo onyesha aina ya laptop na spec zake? ili iwe rahisi kujua wakati wa kuinunua maana nategemea kuichukulia kkoo au machinga complex maana hizo ndyo sehemu nlizo ona wanauza laptop used, kama unavyo jua wale jamaa wanaongea balaaa wasije wakani shawishi kwa spec ambazo sio nataka nieende nikiwa spec zangu alikini.
specs zinaekwa kwenye website ya manufacture mkuu hizi ni za photoshop
Intel® Core 2 or AMD Athlon® 64 processor; 2 GHz or faster processor
Microsoft Windows 7 with Service Pack 1, Windows 8.1, or Windows 10
2 GB of RAM (8 GB recommended)
2.6 GB of available hard-disk space for 32-bit installation; 3.1 GB of available hard-disk space for 64-bit installation; additional free space required during installation (cannot install on a volume that uses a case-sensitive file system)
1024 x 768 display (1280x800 recommended) with 16-bit color and 512 MB of dedicated VRAM; 2 GB is recommended*
OpenGL 2.0–capable system
Internet connection and registration are necessary for required software activation, validation of subscriptions, and access to online services.**
hivyo i3/i5/i7 ya generation yoyote itafaa, na ram 8gb. sema ram kwenye laptop unaongeza tu isikusumbue ila ni vyema ikiwa na angalau 4gb ya kuanzia.
tatizo ni hapo kwenye gpu, ili utumie 3d feature za photoshop inabidi pc iwe na atleast 512mb vram, kama utapata pc yenye dedicated gpu ya nvidia au radeon sio mbaya ila ukikosa angalau hio cpu iwe ni ya 4th gen ili upate internal gpu nzuri.
pc nyingi za kkoo na machinga ni 2nd au 3rd gen hivyo kuwa makini.
na kwenye illustrator 4th gen kupanda ni must kama huna dedicated gpu, wameandika kabisa inabidi uwe na intel HD 4600 kupanda
System requirements | Adobe Illustrator