Natafuta patna cc

Natafuta patna cc

Ndo wapi tena huko mtz? mie natokea Bashnet nakwenda Balangdalalu kupitia Hidet na Masqaroda, kabla hujafika Gawal, na Gidagamondi...... napanda ndege ipi? Dena Amsi hebu njoo this way nsaidie kumweleza mtz nataka kwenda huko KLM, na hizo Ethiopian zinafika huko?
hahahahaha
 
Una makwesheni mingi, kwani we ni polisi P?

Aooouuu.....huwa napasikia tu......? ndege ya kwenda huko ipoje.....? huko ni Ulaya eeeh....? ni pazuri.....? nikitaka kwenda nafanyaje......?
 
Nakupenda sana mpenzi wa mimi, zawadi yako nishanunua tena zile material mnaziita Wax...pia nina surprise gift yako najua utaipenda sana...
Kijana naye ana zawadi yake saa ya Rolex...

soon c u luv!!!

hello sweetheart, mie mzima mume wangu , daddy dearest to our lovely daughters and sons. mie mzima kabisa twaendelea vyema na jana ilikuwa borthday ya kijana wetu stevoh, ilikwenda vizuri anasubiri umletee zawadi yake kama ulivyoahidi wakati unaondoka, na kitenge changu usisahau, kaka yake Davie S.M alimpatia shati zuri sana, dada zake WiseLady, charminglady na sweetlady walimnunulia keki tamu sana na juice za kutosha..... kama ilivyo ada, Ole wake ampaye mtumishi wa mungu kilevi... hivyo hakikuwepo
 
Last edited by a moderator:
Ndo wapi tena huko mtz? mie natokea Bashnet nakwenda Balangdalalu kupitia Hidet na Masqaroda, kabla hujafika Gawal, na Gidagamondi...... napanda ndege ipi? Dena Amsi hebu njoo this way nsaidie kumweleza mtz nataka kwenda huko KLM, na hizo Ethiopian zinafika huko?

Ha ha ha ha umenikumbusha sana Bashnet. Huyu Mtz one mie sijui anaongelea wapi wakati wengine hata kupanda ndege hatujawahi
 
Ha ha ha ha umenikumbusha sana Bashnet. Huyu Mtz one mie sijui anaongelea wapi wakati wengine hata kupanda ndege hatujawahi

Umeona eh?? na mie napakumbuka sana aisee, nilipapenda sana Bashnet na hali ya hewa sijui kama ipo kama zamani zile tena na huu ukataji holela wa miti
 
Umeona eh?? na mie napakumbuka sana aisee, nilipapenda sana Bashnet na hali ya hewa sijui kama ipo kama zamani zile tena na huu ukataji holela wa miti
bashnet ndo wapi jamani??
 
Ha ha ha ha umenikumbusha sana Bashnet. Huyu Mtz one mie sijui anaongelea wapi wakati wengine hata kupanda ndege hatujawahi
nasikia kuna promo nyingi tu za fastjet unaweza kulimbua mwaka kwa ndege hiyo
 
Back
Top Bottom