Natafuta patna cc

Natafuta patna cc

CCB wadada jitokezeni,bahati haiji mara mbili,mmoja anaweza kubahatika!teh teh!
 
he mbona umetumia ukali hivo? nilikuwa DK nimerejea home sasa kimekukera nini mimi kuandika dar? nilikuheshimu watu8 lkn leo umenivunjia heshima am no longer in respect with u

kwani DK ni wapi ndugu yangu.....nami nataka niende......
 
kwani DK ni wapi ndugu yangu.....nami nataka niende......

Preta (shemeji mstaafu)
Nikupe ushauri usio na malipo, ni hivi si vzr kila utakapopasikia upashobokee ukapaone!
Je? Ikija akwambie DK ni "Danguroni Kwetu" namie nakujua we si wa viwanja hivyo, si utakushuka?
Rejea neno "si kila tundu lafaa kutia kidole!"
Kuna TUNDU jingine hua si tundu bali ni mtu, tena Mbunge!
 
Last edited by a moderator:
Wana cc natafuta partner wa kuwa nae humu ambae yupo free mi npo dsm

i am watching you carefully,ole wako ukosee step uingie choo cha kike,you wat ai min.....don't mai waif meeeennn!!!
 
Duh nimecheka sana kuna mijamaa humu hatari loo
Hivi ujue unatuchanganya wewe???...mtihani wa form four umefaulu kweli au ndio wewe uliyechora picha ya Zombi??
Kuwa na partner CC haina uhusiano na physical location yako....narudia tena haina uhusianoooo
 
i am watching you carefully,ole wako ukosee step uingie choo cha kike,you wat ai min.....don't mai waif meeeennn!!!
@Bishanga usituwekee ukuta bhana mbona kila kona unakaba
 
mkuu kama hukupendezwa na post yangu ungenitumia hata PM kwa heshima tuliyonayo baina yetu...nothing serious, na nilipost ile kitu kwa kuwa najua wanifahamu but now I doubt!!!

mbona yamekwisha jaman? nimekuelewa
 
Back
Top Bottom