Optimistic_
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 2,347
- 1,860
HAbarini ndugu!!! Poleni na majukumu ya kujenga taifa letu pendwa.....
Wanajukwaa naombeni msaada kupata past pepars form two 2016(physics & mathematics) ambazo ziko in PDF ili nkazi print.... Najua kuna watu watasema ingia website za maktaba au necta
Maktaba au NECTA kwenye website yao hakuna shulen pia nilko hakuna tafadahali nisaidieni...
Samahann kwa uandishi mbovu