Natafuta Partying buddy wa kike

Natafuta Partying buddy wa kike

Ndio, sio mahusiano ya kimapenzi, tunapeana kampan tu tukitoka kurelax, of course na kusaidiana upwiru wa hapa na pale.

Ukiwa unakunywa pombe itapendeza zaidi, ukiwa na tattoos pia ni bomba sana.

Maeneo ni dar na dodoma.

Karibuni PM.
You sound like Haya🤣🤣🤣
 
Tulipofikia bora kuelezana ukweli kuwa mpo kupeana company na kupunguziana upwiru ili kila mtu ajue mipaka yake

Mambo ya kufatiliana na kugandana kama kupe ni mambo ya kizamani.

Shukrani za dhati kwako mtoa mada.🤝
well said brother. People are afraid to face the reality
 
Tafuta hela na uzielekeze sehemu sahihi hakuna kitu kama mikosi na upuuzi kama huo.

Hizo dhana zimeanzishwa na wasomi wa social engineering ili kuweza kufanya social structuring na kurahisisha kuwatawala binadamu.

Cha msingi ukimpata mtu wako unataka ukabanjuke nae kabla hamjayaanza mpe mbichi na mbivu,mwambie lazima mpiti hospitali/zahanati/kituo cha afya mkapime NGOMA.Ukiwa vizuri mfukoni mpime mkojo ukikutwa mchafu tumia kinga,mpime kaswende(syphilis),mpime Hepatitis B,baada ya hapo kaisugue na kuisugua utakavyo.Akigoma basi apite vile(🚨🚨🚨huyo anajijua hali yake).


Maisha ni simple ila binadamu wa leo wabishi sana.


#Tafuta hela, uzinzi na ngono utauita mapenzi.
Mkuu, Hii mitazamo huwa ina ukomo. Mwenyewe utatafuta mwenza wa kutulia nae hapo ushapigana vita haswa yaani ni comandoo mwenye makovu yake. 60+ huko utajitafutia tu.
 
Ingia site yao ile ya exotictz, utawapata wa sampuli hio mkuu
 
Ndio, sio mahusiano ya kimapenzi, tunapeana kampan tu tukitoka kurelax, of course na kusaidiana upwiru wa hapa na pale.

Ukiwa unakunywa pombe itapendeza zaidi, ukiwa na tattoos pia ni bomba sana.

Maeneo ni dar na dodoma.

Karibuni PM.
Sasa wa mie katika hizi aongeze awe anakula mjani pia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom