Natafuta Partying buddy wa kike

Natafuta Partying buddy wa kike

Ndio, sio mahusiano ya kimapenzi, tunapeana kampan tu tukitoka kurelax, of course na kusaidiana upwiru wa hapa na pale.

Ukiwa unakunywa pombe itapendeza zaidi, ukiwa na tattoos pia ni bomba sana.

Maeneo ni dar na dodoma.

Karibuni PM.
Kijana kuna magonjwa na mikosi.. Unaweza haribu maisha yako yote kwa kile tunacho ita raha ya siku moja
 
Kijana kuna magonjwa na mikosi.. Unaweza haribu maisha yako yote kwa kile tunacho ita raha ya siku moja
Kwani kwenye ndoa hakuna magonjwa???!!!

Kwa takwimu tu za harakaharaka wanandoa ndio wanaongoza kuwa na magonjwa ya zinaa na UKIMWI.

Ndoa ni dhana na FALSAFA mufilisi kabisa kuwahi kutokea hapa duniani.

Kijana amka kutoka usingizini.
 
kaza fuvu tu, Kuna magonjwa na kuna mikosi.. maisha ni kuchagua.. kaa na mpenzi wako mmoja tulie mujijenge
 
kaza fuvu tu, Kuna magonjwa na kuna mikosi.. maisha ni kuchagua.. kaa na mpenzi wako mmoja tulie mujijenge
Tafuta hela na uzielekeze sehemu sahihi hakuna kitu kama mikosi na upuuzi kama huo.

Hizo dhana zimeanzishwa na wasomi wa social engineering ili kuweza kufanya social structuring na kurahisisha kuwatawala binadamu.

Cha msingi ukimpata mtu wako unataka ukabanjuke nae kabla hamjayaanza mpe mbichi na mbivu,mwambie lazima mpiti hospitali/zahanati/kituo cha afya mkapime NGOMA.Ukiwa vizuri mfukoni mpime mkojo ukikutwa mchafu tumia kinga,mpime kaswende(syphilis),mpime Hepatitis B,baada ya hapo kaisugue na kuisugua utakavyo.Akigoma basi apite vile(🚨🚨🚨huyo anajijua hali yake).

Maisha ni simple ila binadamu wa leo wabishi sana.

#Tafuta hela, uzinzi na ngono utauita mapenzi.
 
  • Thanks
Reactions: apk
Tafuta hela na uzielekeze sehemu sahihi hakuna kitu kama mikosi na upuuzi kama huo.

Hizo dhana zimeanzishwa na wasomi wa social engineering ili kuweza kufanya social structuring na kurahisisha kuwatawala binadamu.

#Tafuta hela, uzinzi na ngono utauita mapenzi.
Weye kaza fuvu, endelea kufanya unayofanya shekhe.. Maisha ni kuchagu.. Ila fahamu kuna magonjwa na mikosi.. hiyo ni facts wazugu wanasemaga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom