Natafuta partner kwenye kilimo

Natafuta partner kwenye kilimo

zakarya

Member
Joined
Nov 1, 2015
Posts
36
Reaction score
5
As Salaam alaykum

Ninatafuta patner kwenye Kilimo kuwekeza na kufanya kazi nami Tanga.

Tutafikiri pamoja mazao gani yatalipa. Na eneo ya kuuza. Baadae tutafuta shamba na wafanyakazi husika.

Kwa mfupi, ninawatafuta watu na characteristic hizi.

* Tanga
* Mtaji hata mdogo
* Mwaminifu (Muislamu ni bora)
* Anajua kutumia SKYPE

Ukifahamu vizuri, tunataka kufanya biashara ya agro
 
Kwanini "muislamu ni bora?"
Unadhani kilimo ni kuanzisha madrasa?

Halafu inshu za kusema awe Anajua kutumia skype, muislam ni bora hapo tayari mazao yamekauka.
Mwisho wa siku utasema wateja wako wawe waislamu.
 
As Salaam alaykum

Ninatafuta patner kwenye Kilimo kuwekeza na kufanya kazi nami Tanga.

Tutafikiri pamoja mazao gani yatalipa. Na eneo ya kuuza. Baadae tutafuta shamba na wafanyakazi husika.

Kwa mfupi, ninawatafuta watu na characteristic hizi.

* Tanga
* Mtaji hata mdogo
* Mwaminifu (Muislamu ni bora)
* Anajua kutumia SKYPE

Ukifahamu vizuri, tunataka kufanya biashara ya agro

Awe wa kike au wakiume?
 
Mm nipo tayari tulime na tufuge na nguruwe japo 100 tu.
Na kila mwisho wa mwezi tukutane shambani tuchinje nguruwe mmoja na kumkaanga tule na ugali wa dona na tushushie na mbege au Kvant.
Ukiwa tayari njoo PM.
 
Acha upumbavu, muislam bora ndio nini?

Kwenye utafutaji, hatuna mambo ya udini.

Kama ndio hivyo, umeshanikosa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
As Salaam alaykum

Ninatafuta patner kwenye Kilimo kuwekeza na kufanya kazi nami Tanga.

Tutafikiri pamoja mazao gani yatalipa. Na eneo ya kuuza. Baadae tutafuta shamba na wafanyakazi husika.

Kwa mfupi, ninawatafuta watu na characteristic hizi.

* Tanga
* Mtaji hata mdogo
* Mwaminifu (Muislamu ni bora)
* Anajua kutumia SKYPE

Ukifahamu vizuri, tunataka kufanya biashara ya agro
Unafanya ubaguzi hadi mwezi wa mfungo ?

Wazee wa panjabi mnashida sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom