Natafuta Paka

Tatizo ukichukua kapaka kadogo kanakunya ndani
Unachukua beseni unaweka mchanga,unakazoesha kukisaidia humo.
kakikua unaanza kukafungia kashinde nje vinginevyo
hata akiwa mkubwa anaendelea kujisaidia ndani.
akiishazoea kutoka nje kujisaidia inakuwa fresh tu.
 
Nipo Mlandizi kwenye bar maarufu sana, wapo paka wengi mno, nitakupa hata 5 bure. Ni PM
 
Kuna sumu moja inanukia harufu ya nyama huwa wanaipenda sana,usiku ukiiweka,asubuh unaokota mizoga ya kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…