Natafuta Paka

Duh! Hao panya wako wamezidi lol!
Hapo hata ukipata paka utakuta wamefanya njama na kumfunga kengele shingoni ili akipita wamsikie [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji38] [emoji38]
 
hujui aina ya paka ,kwa panya hao ndo wenyewe ni aina ya taby cat hawa slim body!
Mmmh! Paka hana mvuto kabisa, mi napenda paka ninayecheza naye.

Asante kwa ushauri. Bilashaka mwenye panya wake atakuwa amepata ushauri wako.
 
Hahahah.. Hana ndugu yake mwenye sura nzuri kidogo
Mchagua jembe si mkulima, chukua huyo mwenye sura ya kazi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mchagua jembe si mkulima, chukua huyo mwenye sura ya kazi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna paka wanang'ata ukikaa vibaya.. Ndo kama hao
 
Nasumbuliwa na panya waliokosa heshima kabisa.. Kama una paka ambaye ana roho mbaya hata kama unauza ntanunua tafadhali... Akiwa mdogo atafaa zaidi.. Nipo Dar Chang'ombe
Nina uwezo wa kujigeuza paka njoo tuongee biashara tatizo lako nitalimaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…