Natafuta office ya ku-share

Natafuta office ya ku-share

jaqfantasy212

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2012
Posts
542
Reaction score
258
Natafuta office ya kushare kwa ajil ya kaz zangu binafsi, tafadhal kwa yeyote mwenye ofis au mwenye kumjua mtu anayeweza akanisaidia katika hili..

nahitaj sehem ndogo tu ya kuweka kit na meza kwa ajil ya kufanyia kaz zangu,ndio naanza sina uwezo mkubwa..

Kuhusu gharama na vitu vingine vinazungumzika..

Kwa mawasiliano tafadhal tuwasiliane kwa namba 0712 193159

Asante..
 
ungesema ww unafanya kazi gani ili iwe rahisi mtu kukusaidia na unataka maeneo gani?
 
Nina project nying ninazofanya, nikipata maeneo yaliyo katikat ya mji itakuwa vizur zaid ingawa hata nikipata sehem yyt iliyokaa vizur ni sawa pia.
 
Unajua mdada ni rahisi kusaidiwa kama ukisema unahusika na kazi gani.
Maana huwezi kusema unahusika na Decoration halafu mwenzio na yeye akawa anafanya the same field.
Hapo itakuwa ni kuharibiana kazi kwa kila mmoja,mwisho wa siku mnatimuana.
Maana Offices sharing lazima watu muwe kwenye field tofauti.Sasa wewe post yako ipo bubu,yaani haisemi unahusika na nini,hata kama ni project nyingi ziainishe licha ya kwamba wenye project nyingi watu wa kushare nao wanaogopa.
Maana mtu akipiga issue anahama office mwenzie anakamatwa.
 
Karibu sana

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Unajua mdada ni rahisi kusaidiwa kama ukisema unahusika na kazi gani.
Maana huwezi kusema unahusika na Decoration halafu mwenzio na yeye akawa anafanya the same field.
Hapo itakuwa ni kuharibiana kazi kwa kila mmoja,mwisho wa siku mnatimuana.
Maana Offices sharing lazima watu muwe kwenye field tofauti.Sasa wewe post yako ipo bubu,yaani haisemi unahusika na nini,hata kama ni project nyingi ziainishe licha ya kwamba wenye project nyingi watu wa kushare nao wanaogopa.
Maana mtu akipiga issue anahama office mwenzie anakamatwa.

Yote hayo nayatambua,kaz zangu hazihusian wala kufanana na field ambazo zimezoeleka..
Hakuna atakayenipa ofis yake kabla ya makubaliano, mazungumzo lazima yawepo ili ajiridishe...
 
Natafuta office ya kushare kwa ajil ya kaz zangu binafsi, tafadhal kwa yeyote mwenye ofis au mwenye kumjua mtu anayeweza akanisaidia katika hili..

nahitaj sehem ndogo tu ya kuweka kit na meza kwa ajil ya kufanyia kaz zangu,ndio naanza sina uwezo mkubwa..

Kuhusu gharama na vitu vingine vinazungumzika..

Kwa mawasiliano tafadhal tuwasiliane kwa namba 0712 193159

Asante..
ipo jaQ nitafte 0713388226
 
njoo Magomeni mapipa hapa office yangu jengo lake linatazamana na dilux bar na morogoro road tuwasiliane 0654838131
 
Back
Top Bottom