Natafuta Nyumba zinazouzwa na Bank mil 15

Yani wenye akili kubwa wanakimbilia chanika wewe na tu milioni 15 twako unaleta nyodo kanunue basi hizo za minada ili uje kulalamika tena Hapa unasumbuliwa na kizimngara
 
mbona hivyo kwani nimekukosea nini mzee
Yani wenye akili kubwa wanakimbilia chanika wewe na tu milioni 15 twako unaleta nyodo kanunue basi hizo za minada ili uje kulalamika tena Hapa unasumbuliwa na kizimngara

ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹
 
Umeona nimeweka chamanzi hapo? kuna maeneo kibao dsm ni local na yako mbali kuliko Mbagala sijayaweka hapo, sababu sina shida nayo. Kama wewe huna kaa kimya. Acha dharau.
Kwa Million 15 hutaki za Mbagala?
Jaribu za Masaki!

ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹
 
Back
Top Bottom