Natafuta nyumba ya kupanga Masaki kwa muda wa wiki mbili 2m

Mr saidia,dont worry utapata tu kwa baudget hiyo

Sent using Brain
 
Mkuu kwa nn usikae hotel tu kwa bajet hiyo
Anafamilia labda, hivyo anahitaji mazingira safi. Hili swala ni LA kawaida. Diyo maana kuna apartments huwa zinapangishwa, one week, two week zikiwa na kila kitu yani tv sofa, majiko ya kupikia, vitanda etc hata mlimani city zipo. Swala kama wewe ni dalali unamtafutia. But inahitaji kuwa makini na MTU huyu maana kuna members wanasema kuna MTU atalia sasa hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka kutapeliwa kirahis tanguliza tamaa ya pesa mbele!
Mtu yuko nje ya nchi tena mbongo afu asiwe na ndugu jamaa na marafiki wa kumsaidia kupata nyumba tena for only two weeks kwa 2m!!!!??
Kuna harufu ya utapeli hapa!
Afu ni member mpya!


Sent using Jamii Forums mobile app
Jamii forum ni sehemu ya kufanikisha mambo yako kama hitaji lake analohitaji. But ni kweri mataperi wapo kibao. Na kama umewahi kukaa mbali na kwenu na watu wa kwenu unawajua ni shida MTU hili ni swala LA kawaida kutumia njia za tofauti na ndugu zako.. Kumbuka kama unafamilia sehemu za maana dar itakugarimu hafi 1.5laki per day. Hivyo hiyo budget ni ya kawaida kwa maisha ya standard ya juu. Pia nakukumbusha kunavyumba ya $2laki per day hapo mjini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipo inje ya ich!!
Shart vitu kilakitu kiwepo dani!!
Mwandiko wenyewe umekaa kama wa ile pesa nitumie kwa namba hii jina ni Saidi abaheya!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mataperi wapo. Kitu ambacho huwa kinanishangaza unaibiwaje kifara hivyo?. Yaani MTU humujui au unamjua. Mfano mke wangu alikuwa anatoka mbeya anaelekea dar kisha aende mkoa mwingine, kwa bahati mbaya simu ikaibiwa ubungo na kisha mwizi akaanza kuitumia kuwataperi ndugu. Ndani ya masaa mawili aliwaibia 6laki baadhi ya ndugu. Ujanja aliotumia, anatuma SMS anaomba pesa huku anasema usinipigie simu inamatatizo ya mic, kisha anaweka namba ya simu nyingine ya kumutumia tofauti na hiyo namba. Mimi ni mke wangu nilimujibu kuwa simu yako ikipona unitafute nitakusaidaia tatizo hilo. Badae wife kwa kuwa ananamba yangu kichwani akanipigia simu kuwa simu imeibiwa. Sasa najiuliza unaibiwaje kifara hivyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom