Natafuta nyumba ya kulinda Arusha hata kama ina mauzauza

shedudu

Member
Oct 5, 2018
15
32
Habari wapendwa, mie ni kijana wa miaka 29 nilikuwa na fedha vizuri kabisa but nikafukuzwa kazi for now Sina ishu na nilikuwa naishi Mwanza but for now niko Arusha nina week mbili tena nimefikia kwa ndugu.

Nilikuwa na fedha nyingi sana but kwa sasa kitu ambacho nimebaki nacho ni gari brevis tu na sina kazi na sjjasoma niliishia form 6 tu, nilikuwa na biashara zote zimekufa.

Naomba msaada sina kodi wala sehemu ya kukaa,hivyo naomba msaada kama kuna nyumba niwe hata kama nailinda ili nikae bure huku naaangalia nini nafanya hapa town najua Mungu ata-bless na nitarudi kuwa kama mwanzo.

Naomba connection ya nyumba yoyote iliyopo Arusha hata kama ni zile zilizoshindikana (haunted house) mie huwa hazinisumbui kabisa.

Naomba msaada Wanandugu.
 
Wapendwa habari aiseee mimi ni kijana wa miaka 29 nilikuwa mfanyakazi mwanza biashara ikaenda mrama mwezi wa pili mwaka huu.

Nilikuwa na hela safi za kujikimu lakini kila kitu kimeenda kombo, nimefilisika, now nimekuja Arusha nina week ya 2 sasa japo nimefikia kwa mtu naomba msaada wa hata nyumba ya kulinda hapa arusha town wakati ninajitafuta hata kama ni hounted house mie ntakaa, maana huwa hazinisumbui.

Mimi ni mchaga wa marangu naomba msaaada wapwa niko so down broke na sijasoma niliishia form 6 tu, naomba msaaada wapwa niko Arusha.

Kwa yeyote atakayeguswa anaweza kunicheki chapu.
 
mimi ni kijana umri miaka 29 ni mchaga wa marangu nilikuwa mfanya-biashara mwanza nikafilisika now Sina kitu tena, na sijasoma nimeishia form 6 nilikuwa na maisha mazuri kiasi kiufupi nilijipata hadi gari nilinunua crown na ndo nililobaki nalo

naomba wapwa connection ya nyumba ya kukaa now Sina kitu wala kodi naomba nyumba ya kuilinda dhumuni ni kukaa bure hata kama nyumba ni hounted (zile zenye mauza uza) mie ntakaaa tu na wala hakuna kitu kitanipata hata nyumba iwe imeshindikana vipi ina majini au mauza uza mie nakaaa Tu , naomba msaaada tutani wapwa now niko so down broke
 
Habari wapendwa, mie ni kijana wa miaka 29 nilikuwa na fedha vizuri kabisa but nikafukuzwa kazi for now Sina ishu na nilikuwa naishi Mwanza but for now niko Arusha nina week mbili tena nimefikia kwa ndugu.

Nilikuwa na fedha nyingi sana but kwa sasa kitu ambacho nimebaki nacho ni gari brevis tu na sina kazi na sjjasoma niliishia form 6 tu, nilikuwa na biashara zote zimekufa.

Naomba msaada sina kodi wala sehemu ya kukaa,hivyo naomba msaada kama kuna nyumba niwe hata kama nailinda ili nikae bure huku naaangalia nini nafanya hapa town najua Mungu ata-bless na nitarudi kuwa kama mwanzo.

Naomba connection ya nyumba yoyote iliyopo Arusha hata kama ni zile zilizoshindikana (haunted house) mie huwa hazinisumbui kabisa.

Naomba msaada Wanandugu.
Poole sana utapata. Mungu ni muaminufu
 
Anza na in drive hapo Arusha, kuna watu wanalea familia kwa kazi hiyo.
 
na kama akikosa Bwana hatakua mwaminifu??
Bwana ni muaminifu siku zote iko constant kukosa na kupata hakumtegei bwana tena bali kuna tegemea zaidi sisi na mahusiano yetu kwake. Bwana ameendelea kuwa mwaminifu toka miaka 2000 iliyopita kwa kifo chake msalabani. Kinachotufanya tusi acess ahadi zake ni imani yetu kwake tu si kingine yeye ni muaminifu siku zote
 
umeiweka vzuri chief
 
Back
Top Bottom