Natafuta nyumba kununua kariakoo

bishororo

JF-Expert Member
Feb 9, 2017
254
358
Habari wana jf,
Kama kichwa habari kinavyosema nahitaji nyumba mitaa ya kariakoo lakini Usiwe na matatizo yoyote
Bei isizidi billion 1 ya kitanzania asante sana
 
Kuna Jamaa namjua anauza nyumba kko mtaa wa somali...kama wee ni buyer au una mnunuzi ambaye ni serious ....confirm naye kabisa ili nkunganishe naye..

Ova
 
Habari wana jf,
Kama kichwa habari kinavyosema nahitaji nyumba mitaa ya kariakoo lakini Usiwe na matatizo yoyote
Bei isizidi billion 1 ya kitanzania asante sana
Yupo anaetaka kuingia mkataba lakini c kuuza, sema kama upo tayar
 
Si kwa usawa wa Magufuli,mimi ninayo ila ina alama ya X but inafutika tu.
 
Back
Top Bottom