Natafuta nyimbo za SISI TAMBALA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta nyimbo za SISI TAMBALA

Discussion in 'Entertainment' started by yutong, Jun 16, 2011.

 1. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #1
  Jun 16, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Jamani mimi natafuta sana nyimbo za kikundi kimoja cha sanaa kinaitwa 'sisi tambala'. yeyote mwenye nazo naomba anisaidie

  asanteni sana
   
 2. Paw

  Paw Content Manager Staff Member

  #2
  Jun 16, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 2,032
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Nawafahamu sana Sisi Tambala. Nakupa clue ya kuwapata uweze kupata nyimbo zao. Pale nyuma ya Ubalozi wa Marekani kuna Nyumba ya Sanaa (baada ya kufisadiwa imehamia huko) ukifika pale ulizia namna ya kuwapata. Kiongozi wao anaitwa Nanjunja Kiberiti. Ukikosa ushirikiano pale just mtafute Mussa, Keppy (0713 607191) ama Kitime wote wa Njenje Productions watakupa clue ya kuzipata nyimbo ama kikundi chenyewe.

  Ni bora ukawasaka wenyewe ukanunua kwao kwani mawakala wanawaibia..
   
 3. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #3
  Jun 16, 2011
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,321
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  Binafsi naupenda sana wimbo wao wa Katope.....
   
Loading...