Natafuta Nguruwe wa kufuga

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,618
Habari, naishi Dar. Nataka kuanza mradi wa kufuga nguruwe, ntawafugia bagamoyo. Nahitaji kuanza na nguruwe kumi, kama kutakuwa na mtu yeyote yule atakayekuwa anauza au anamfaham mtu anayeuza hapa Dar au maeneo ambayo ni jirani na Dar naomba anifahamishe.
 
ndugu ukifanikiwa kupata info naomba unishirikishe na mimi ukiweza kupitia 0755966673
 
Kwanini msiweke mambo hadharani?
 
Hiyo ni biashara haiwezi wekwa hadharani cos ni makubaliano baina ya watu wawili hasa kwenye bei na maelewano na wauzaji wengine hawako jf
 
Ninao .ni pm kwa maelewano.
 
Hiyo ni biashara haiwezi wekwa hadharani cos ni makubaliano baina ya watu wawili hasa kwenye bei na maelewano na wauzaji wengine hawako jf
weka hadharani upate wateja zaidi kama wewe ni muuzaj, nini siri? bei?!!!!
 

 

Nipigie kwenye: 0686 555726
 

Ungeweka mawasiliano yako ingekua vema sana. Piga namba hii 0764 518 851 ana nguruwe wazuri sana wa umri mbalimbali.
 
Leviticus 11:7-8 :- And the pig, because it parts the hoof and is cloven-footed but does
not chew the cud, is unclean to you. You shall not eat any of their
flesh, and you shall not touch their carcasses; they are unclean to
you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…