Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 25,558
- 45,878
Kwa nini usiende kumsuta?NAOMBENI MSAADA WA NAMBA ZA POLISI KAWE KUNA JIRANI MKOROFI SANA AKIRUDI USIKU WA MANANE ANAWASHA MZIKI KWENYE GARI KWA NGUVU SAA KUMI NA MBILI NDO ANAINGIA NDANI KWAKE KULALA.WATU HATULALI VIZURI KUMBUKA KUMI NA MBILI HYO NDO WATU TUNAENDA KAZINI HOI.
NAOGOPA KUTOKA NJE MKUU ANAWEZA ANIBAKEKwa nini usiende kumsuta?
Kwa nini usiende kumsuta?
Anza kwa mwenye nyumba kwanza, kama bado nenda serikali za mitaa, ikishindikana ndo uende polisiNAOMBENI MSAADA WA NAMBA ZA POLISI KAWE KUNA JIRANI MKOROFI SANA AKIRUDI USIKU WA MANANE ANAWASHA MZIKI KWENYE GARI KWA NGUVU SAA KUMI NA MBILI NDO ANAINGIA NDANI KWAKE KULALA.WATU HATULALI VIZURI KUMBUKA KUMI NA MBILI HYO NDO WATU TUNAENDA KAZINI HOI.
NAOMBA TU NAMBA YA POLISI KAWEAnza kwa mwenye nyumba kwanza, kama bado nenda serikali za mitaa, ikishindikana ndo uende polisi
Anzia kwa mjumbe, mwenye kiti wa mtaaa.NAOGOPA KUTOKA NJE MKUU ANAWEZA ANIBAKE
SITAKI AJUE NI MIMI NAMCHOMEA HALAFU NI FOREIGNER ARUDI TU KWAOAnza kwa mwenye nyumba kwanza, kama bado nenda serikali za mitaa, ikishindikana ndo uende polisi
SITAKI AJUE NI MIMI NAMCHOMEA MAANA SIJUI HATA KAMA ANA MAKARATASI YA KUKAA HAPA BONGOAnzia kwa mjumbe, mwenye kiti wa mtaaa.
Hapo ndio mahala pazuri pa kusolve hilo, tena kwa kuwa hiyo itakuwa kero ya wengi,zungumza na wenzio mfanyo hayo ya juuu
Siku akija hajalewa na wewe fungulia. Nakumbuka kipindi nafanya kazi za usiu kunajirani alikuwa anafungulia muziko to asubuhi mpaka jion. Nikirudi kazini ata nikimuomba apunguze ananijibu kama sina uwezo wa kununua muziki nisiwanyanyase. Nikasema tu asante nikawa nikotoka night naenda kulala gheto kwa mshikaji mtaa wa tatu. Nilipopata mshahara nikaenda nunua home theater kitu watt 1000. Nikaweka mzigo wa kutosha kwenye flash disk. Nikafungulia muziki mpaka mwisho nkasepa zangu job. Kibaya circuit breaker na main switch viko chumbani. Keshoyake waliomba kikao maninaNAOMBENI MSAADA WA NAMBA ZA POLISI KAWE KUNA JIRANI MKOROFI SANA AKIRUDI USIKU WA MANANE ANAWASHA MZIKI KWENYE GARI KWA NGUVU SAA KUMI NA MBILI NDO ANAINGIA NDANI KWAKE KULALA.WATU HATULALI VIZURI KUMBUKA KUMI NA MBILI HYO NDO WATU TUNAENDA KAZINI HOI.
AHAHAAA KUNA MTU ALIWEKA SPEAKER NJE WEEK ANAPIGA TU MUZIKISiku akija hajalewa na wewe fungulia. Nakumbuka kipindi nafanya kazi za usiu kunajirani alikuwa anafungulia muziko to asubuhi mpaka jion. Nikirudi kazini ata nikimuomba apunguze ananijibu kama sina uwezo wa kununua muziki nisiwanyanyase. Nikasema tu asante nikawa nikotoka night naenda kulala gheto kwa mshikaji mtaa wa tatu. Nilipopata mshahara nikaenda nunua home theater kitu watt 1000. Nikaweka mzigo wa kutosha kwenye flash disk. Nikafungulia muziki mpaka mwisho nkasepa zangu job. Kibaya circuit breaker iko chumbani. Keshoyake waliomba kikao manina
MKUU SIWEZI KUFANYA HIVO HALAFU TUNAISHI WATU WASTAARABU SANA HAPASiku akija hajalewa na wewe fungulia. Nakumbuka kipindi nafanya kazi za usiu kunajirani alikuwa anafungulia muziko to asubuhi mpaka jion. Nikirudi kazini ata nikimuomba apunguze ananijibu kama sina uwezo wa kununua muziki nisiwanyanyase. Nikasema tu asante nikawa nikotoka night naenda kulala gheto kwa mshikaji mtaa wa tatu. Nilipopata mshahara nikaenda nunua home theater kitu watt 1000. Nikaweka mzigo wa kutosha kwenye flash disk. Nikafungulia muziki mpaka mwisho nkasepa zangu job. Kibaya circuit breaker iko chumbani. Keshoyake waliomba kikao manina
YAANI NAOMBA TU NAMBA YA POLISI NISHAMPELELEZA MKE WAKE HANA MAKARATASI ILA NADHANI YEYE KUTOKANA NA KAZI YAKE ATAKUWA NAYO ILA POLISI WA BONGO WALIVO NA NJAA WACHA WAMLIE HELA MPAKA AKOMEHawa foreigner wengine wanavyoishi hii nchi kama yao alafu wengine wanavyo over take na matusi juu unapataa....
Hao viongozi wanaweza weka siri taarifa uliyotoa endapo utapenda hiwe hivyo.SITAKI AJUE NI MIMI NAMCHOMEA MAANA SIJUI HATA KAMA ANA MAKARATASI YA KUKAA HAPA BONGO
Ha ha ukiwa mstaarabu sana watu wanakuona poyoyo. Kunamuda mtu unaamua kama mbwai na iwe mbwai. Ustaarabu ukizidi unapoonza. Watu wanakugeuza ngaziMKUU SIWEZI KUFANYA HIVO HALAFU TUNAISHI WATU WASTAARABU SANA HAPA
SIJUI BORA TU NIPIGE SIMU POLISI KWA NAMBA YA BEKI TATUHao viongozi wanaweza weka siri taarifa uliyotoa endapo utapenda hiwe hivyo.
NO watu wengine tupo ok ni huyu tu mbaya anasumbua watoto asubuhi wanashindwa hata kuwai shuleHa ha ukiwa mstaarabu sana watu wanakuona poyoyo. Kunamuda mtu unaamua kama mbwai na iwe mbwai. Ustaarabu ukizidi unapoonza. Watu wanakugeuza ngazi
Siku akija hajalewa na wewe fungulia. Nakumbuka kipindi nafanya kazi za usiu kunajirani alikuwa anafungulia muziko to asubuhi mpaka jion. Nikirudi kazini ata nikimuomba apunguze ananijibu kama sina uwezo wa kununua muziki nisiwanyanyase. Nikasema tu asante nikawa nikotoka night naenda kulala gheto kwa mshikaji mtaa wa tatu. Nilipopata mshahara nikaenda nunua home theater kitu watt 1000. Nikaweka mzigo wa kutosha kwenye flash disk. Nikafungulia muziki mpaka mwisho nkasepa zangu job. Kibaya circuit breaker na main switch viko chumbani. Keshoyake waliomba kikao manina