Natafuta Namba ya kituo cha polisi Kawe

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
25,470
45,614
Naombeni msaada wa namba za polisi kawe kuna jirani mkorofi sana akirudi usiku wa manane anawasha mziki kwenye gari kwa nguvu saa kumi na mbili ndo anaingia ndani kwake kulala.Watu hatulali vizuri kumbuka kumi na mbili hyo ndo watu tunaenda kazini hoi.
 
NAOMBENI MSAADA WA NAMBA ZA POLISI KAWE KUNA JIRANI MKOROFI SANA AKIRUDI USIKU WA MANANE ANAWASHA MZIKI KWENYE GARI KWA NGUVU SAA KUMI NA MBILI NDO ANAINGIA NDANI KWAKE KULALA.WATU HATULALI VIZURI KUMBUKA KUMI NA MBILI HYO NDO WATU TUNAENDA KAZINI HOI.
Kwa nini usiende kumsuta?
 
Anza kwa mwenye nyumba kwanza, kama bado nenda serikali za mitaa, ikishindikana ndo uende polisi
 
Anzia kwa mjumbe, mwenye kiti wa mtaaa.
Hapo ndio mahala pazuri pa kusolve hilo, tena kwa kuwa hiyo itakuwa kero ya wengi,zungumza na wenzio mfanyo hayo ya juuu
SITAKI AJUE NI MIMI NAMCHOMEA MAANA SIJUI HATA KAMA ANA MAKARATASI YA KUKAA HAPA BONGO
 
NAOMBENI MSAADA WA NAMBA ZA POLISI KAWE KUNA JIRANI MKOROFI SANA AKIRUDI USIKU WA MANANE ANAWASHA MZIKI KWENYE GARI KWA NGUVU SAA KUMI NA MBILI NDO ANAINGIA NDANI KWAKE KULALA.WATU HATULALI VIZURI KUMBUKA KUMI NA MBILI HYO NDO WATU TUNAENDA KAZINI HOI.
Siku akija hajalewa na wewe fungulia. Nakumbuka kipindi nafanya kazi za usiu kunajirani alikuwa anafungulia muziko to asubuhi mpaka jion. Nikirudi kazini ata nikimuomba apunguze ananijibu kama sina uwezo wa kununua muziki nisiwanyanyase. Nikasema tu asante nikawa nikotoka night naenda kulala gheto kwa mshikaji mtaa wa tatu. Nilipopata mshahara nikaenda nunua home theater kitu watt 1000. Nikaweka mzigo wa kutosha kwenye flash disk. Nikafungulia muziki mpaka mwisho nkasepa zangu job. Kibaya circuit breaker na main switch viko chumbani. Keshoyake waliomba kikao manina
 
Siku akija hajalewa na wewe fungulia. Nakumbuka kipindi nafanya kazi za usiu kunajirani alikuwa anafungulia muziko to asubuhi mpaka jion. Nikirudi kazini ata nikimuomba apunguze ananijibu kama sina uwezo wa kununua muziki nisiwanyanyase. Nikasema tu asante nikawa nikotoka night naenda kulala gheto kwa mshikaji mtaa wa tatu. Nilipopata mshahara nikaenda nunua home theater kitu watt 1000. Nikaweka mzigo wa kutosha kwenye flash disk. Nikafungulia muziki mpaka mwisho nkasepa zangu job. Kibaya circuit breaker iko chumbani. Keshoyake waliomba kikao manina
AHAHAAA KUNA MTU ALIWEKA SPEAKER NJE WEEK ANAPIGA TU MUZIKI
 
Hawa foreigner wengine wanavyoishi hii nchi kama yao alafu wengine wanavyo over take na matusi juu unapataa....
 
Siku akija hajalewa na wewe fungulia. Nakumbuka kipindi nafanya kazi za usiu kunajirani alikuwa anafungulia muziko to asubuhi mpaka jion. Nikirudi kazini ata nikimuomba apunguze ananijibu kama sina uwezo wa kununua muziki nisiwanyanyase. Nikasema tu asante nikawa nikotoka night naenda kulala gheto kwa mshikaji mtaa wa tatu. Nilipopata mshahara nikaenda nunua home theater kitu watt 1000. Nikaweka mzigo wa kutosha kwenye flash disk. Nikafungulia muziki mpaka mwisho nkasepa zangu job. Kibaya circuit breaker iko chumbani. Keshoyake waliomba kikao manina
MKUU SIWEZI KUFANYA HIVO HALAFU TUNAISHI WATU WASTAARABU SANA HAPA
 
Hawa foreigner wengine wanavyoishi hii nchi kama yao alafu wengine wanavyo over take na matusi juu unapataa....
YAANI NAOMBA TU NAMBA YA POLISI NISHAMPELELEZA MKE WAKE HANA MAKARATASI ILA NADHANI YEYE KUTOKANA NA KAZI YAKE ATAKUWA NAYO ILA POLISI WA BONGO WALIVO NA NJAA WACHA WAMLIE HELA MPAKA AKOME
NIPENI NAMBA NIWAPE DIRECTION
 
Ha ha ukiwa mstaarabu sana watu wanakuona poyoyo. Kunamuda mtu unaamua kama mbwai na iwe mbwai. Ustaarabu ukizidi unapoonza. Watu wanakugeuza ngazi
NO watu wengine tupo ok ni huyu tu mbaya anasumbua watoto asubuhi wanashindwa hata kuwai shule
 
Siku akija hajalewa na wewe fungulia. Nakumbuka kipindi nafanya kazi za usiu kunajirani alikuwa anafungulia muziko to asubuhi mpaka jion. Nikirudi kazini ata nikimuomba apunguze ananijibu kama sina uwezo wa kununua muziki nisiwanyanyase. Nikasema tu asante nikawa nikotoka night naenda kulala gheto kwa mshikaji mtaa wa tatu. Nilipopata mshahara nikaenda nunua home theater kitu watt 1000. Nikaweka mzigo wa kutosha kwenye flash disk. Nikafungulia muziki mpaka mwisho nkasepa zangu job. Kibaya circuit breaker na main switch viko chumbani. Keshoyake waliomba kikao manina

Nimecheka sana aiseee.....
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom