Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 25,470
- 45,614
Naombeni msaada wa namba za polisi kawe kuna jirani mkorofi sana akirudi usiku wa manane anawasha mziki kwenye gari kwa nguvu saa kumi na mbili ndo anaingia ndani kwake kulala.Watu hatulali vizuri kumbuka kumi na mbili hyo ndo watu tunaenda kazini hoi.