Natafuta nafasi za kujitolea viwandani (volunteer)

Shikono Avant

Senior Member
Nov 23, 2019
118
126
Habarini za muda huu, Kama kichwa cha habari kinavyosema, kwamba ninatafuta sehemu ya kujitolea iwe viwandani, garage au karakana yoyote ile.

Lengo:
- Niweze kupata uzoefu (experience) wa kazi za ufundi
- Kujenga team work nawafanyakaz katika kazi (connection)
- Kuendeleza knowledge na skills za kazi
- Kujua jinsi gani ya kuweza kuzikabili changamoto na kuzitatua

Ahsanteni natumaini wahusika wanaohusika na hili watanisikia.
Mimi ni mkazi wa Dar es salaam
 
Nenda physically viwandani utapata, pita kiwanda kwa kiwanda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaribu kwenda Kiwanda Che East Coast Mills ( MeTL ) Kipo Kurasini, Near Dock Yard.

Wanatengeneza Sabuni, Margarine na Mafuta Ya Kula

Huwa wana programme kabisa kwaajili ya Volunteer na Internships.
 
Ahsante kwa taarifa ndugu, kesho nitajitahidi niende nikajue utaratibu wao zaidi
 
Shida yako ni experience tu, au na kupata walau hela ya bando?
Lengo kubwa kupata experience na knowledge za kazi kuliko kukaa nyumban kulemaza akili, kuhusu kulipwa hiyo sio priority kwangu hi option ya mwajiri mwenyew ,lengo kubwa ndio Hilo (volunteer)
 
Sawa zunguka viwandani utapata tu
 
Lengo kubwa kupata experience na knowledge za kazi kuliko kukaa nyumban kulemaza akili, kuhusu kulipwa hiyo sio priority kwangu hi option ya mwajiri mwenyew ,lengo kubwa ndio Hilo (volunteer)
Mkuu,una uhakika na usemalo?
Yani uende sehem unafanya kazi,na Bado unatumia hela yako binafsi kuishi?

Nimeona watu Wana mawazo yako, ila baada ya muda tuu utajua Nini unatakiwa ufanye.
 
Nauri na pesa ya kula utakuwa unapata wapi ukiwa kazini?

Man Of October
 
Mkuu,una uhakika na usemalo?
Yani uende sehem unafanya kazi,na Bado unatumia hela yako binafsi kuishi?

Nimeona watu Wana mawazo yako, ila baada ya muda tuu utajua Nini unatakiwa ufanye.
Mkuu ni kweli unayosema, kwa hali ya sasa swala la uzoefu limepewa sana kipaombele kwenye mashirika, kwahyo lazima tupambane tujue zaid mambo, na pia nimejipanga kwa kias chake katka hili, mkuu cha msingi hapa kupambana hamna namna
 
Back
Top Bottom