naomba kazi
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 253
- 213
Vipi mkuu
Kote uko tayari mkuuNenda kasajir erolink utapata huko
Mimi nataka kufanya kazi kwenye telecommunication industry mkuuKama Unaweza Kutoa One Month Salary
Unatafuta Kazi Ya Nini
Habarini ndugu zangu, poleni na majukumu
Najua wengi wenu mtanibeza, ntanitusi na wengine kunikebehi ila kiukweli natamani sana kufanya kazi kwenye telecommunica industry
Kwa yeyote atakayenisaidia kupata kazi kwenye kampuni izi za telecommunications industry e.g. (TIGO, VODA, HALLOTEL, ZANTEL, AIRTEL au TTCL)
Baada tu ya kusaini mkataba (on-the-sport) nampatia zawadi ya mshahara ntakaokuwa nimeingia(saini) na taasisi usika
Elimu yangu ni degree ya computer science (sayansi ya komputa)
Uzoefu wa kazi: 2 years working experience (up-to-now)
Naombeni sana msaada wenu wakuu,
Note: kila nafasi ambayo uwa inatangazwa na makampuni ayo usika uwa naomba ila sijawai bahatika kupata
Karibuni sana na mungu awabariki
Labda ni passion mkuuKama Unaweza Kutoa One Month Salary
Unatafuta Kazi Ya Nini
Kote uko tayari mkuu
Mkuu nimeandika kwenye bandiko langu, nimesoma computer scienceBe Humble bhs hukumsikia mzee kendrick lamar?? Umesoma fani gan
AmeinMshahara wa kwanza ni wa Mungu
Kwanini mkuuUnajishusha sana
Tatizo lako ww mwenyewe pamoja na degree yako na experience ya miaka 2 hujui UNAJUA nini.Anyone can help me please
I have a knowledge and experience on the following activityTatizo lako ww mwenyewe pamoja na degree yako na experience ya miaka 2 hujui UNAJUA nini.
Yaani unaoneka una cheti lkn practical skills hauna,kaa na cheti chako uone kama kitakupatia kazi.
Yaani dah una degree na experience ya miaka miwili lkn hujui UNAJUA au UNAJIHUSISHA na nini.
Sasa ulitakiwa uanze kujielezea hivyo ili watu wajue wanaanzia wapi kukusaidia.I have a knowledge and experience on the following activity
1. Penetration Testing (vulnerability, sniffing, exploit & tools and social engineering )
2. To secure system by (linux, DNS, and cryptography )
3. To secure connectivity like ( switch, router, firewall, VPN, IPS and IDS)
4. Digital forensics investigation (mobile and computer )
5. Computer networking
6. system analysis and design
7. IT support, project management, and fleet management system
8. Security system (cctv camera, alarm system, electric fence, and biometric system )