Natafuta mzigo wa kusafirisha

Mgengeli

Senior Member
Sep 23, 2011
193
13
Wana JF Natafuta mzigo wa kusafirisha kwenda mikoani na hata nje ya nchi ktk ukanda wetu wa EAC
 
Maelezo yako hayajatosheleza mkuu..jaribu kuwa wazi zaidi..unasafirisha au unataka mtu akusafirishie,,na mizigo ya namna gani unayotaka?
 
Mimi nina gari (TRUCK) Nina itafutia mzigo,kazi ya kufanya kusafirisha mzigo
 
Maelezo yako hayajatosheleza mkuu..jaribu kuwa wazi zaidi..unasafirisha au unataka mtu akusafirishie,,na mizigo ya namna gani unayotaka?
Watu wengine ni wasumbufu sana...hapo umeshaelewa kabisa kuwa anatafuta mzigo...akiwa na maana ana Gari, na ndo maana umemuuliza ni mzigi wa namna gani anataka....ila mwanzo unajifanya huelewe kabisa.....sio lazima uchangie mzee
 
Mimi nina gari (TRUCK) Nina itafutia mzigo,kazi ya kufanya kusafirisha mzigo
Aina gani ya Truck?? kwanza umesema mikoani na NJE...ina maana kama gari yako ni transit unawezaje kusafirisha mikoani?? au unazo nyingi ikiwa ni pamoja na transit & Local?? vipi kuhusu mizigo ya hapa hapa DAR kupeleka Bandarini?? shanta unakula?? gari unazo ngapi??
 
Watu wengine ni wasumbufu sana...hapo umeshaelewa kabisa kuwa anatafuta mzigo...akiwa na maana ana Gari, na ndo maana umemuuliza ni mzigi wa namna gani anataka....ila mwanzo unajifanya huelewe kabisa.....sio lazima uchangie mzee

People! Think with your head not your balls!!!! Hivi mtu akikuambia anatataka mzigo wa kusafirisha utaelewa nini? and you are defending Him
 
kama ni biashara kaa kibiashara. weka mawasiliano yako, jina la kampuni na sehemu mnapo patikana. mia
 
Nawashukuruni nyote kwa kuchangia kwa wanaotaka mawasiliano zaidi unaweza ku PM,
 
Mkuu kwa kukusaidia ebu wasiliana na Bakhesa huwa anakodisha truck 124 L kupelekea mzigo mikoani na nje ya nchi.
 
People! Think with your head not your balls!!!! Hivi mtu akikuambia anatataka mzigo wa kusafirisha utaelewa nini? and you are defending Him
we sio mzima aisee....umeambiwa unaohitajika ni mzigo (ili usafirishwe)..... wewe unauliza kama anataka wamsafirishie!!!! kama angetaka wamsafirishie angeulizia gariiii!!!!!!! kilaza wewe
 
Siwezi bishana na mburura kama wewe kwenda huko!!!!!!!!!
Wana JF Natafuta mzigo wa kusafirisha kwenda mikoani na hata nje ya nchi ktk ukanda wetu wa EAC
Kutembea hivi huyu jamaa hata shule kaenda japo kidogo??? kama ndio aliishia chekechea coz kuna mambo mengine kuyaelewa haiitaji kusumbua ubongo kabisa.....yaani kwenye thread yako na ilivyojitosheleza bado anahisi kuwa unatafuta Gari usafirishie mzigo (it's like wewe una mzigo ndo unatafuta gari)...wakati jambo liko wazi unaohitajika ni mzigo usafirishwe..... eliphaz the TEMAnite rudi class
 
People! Think with your head not your balls!!!! Hivi mtu akikuambia anatataka mzigo wa kusafirisha utaelewa nini? and you are defending Him
nitaelewa ANA GARI...na yeye ni msafirishaji PERIOD!!!!!!!!!!!! Kaongezea kabisa """""ukanda wa EAC""" nitajua kabisa huyu jamaa anafanya shughuli ya usafirishaji under C65 (transit)!!!!!!!!!vipi bab, wakati ulipokuwa unaisoma ulikuwa unakimbizwa???
 
kiherehere, nimeona umeuliza kama yupo tayari kufanya kazi za hapa Dar. Unazo hizo kazi mkuu? Nina semi pia(naweza beba 20ft and 40ft containers) natafuta kazi/mizigo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom