Natafuta Mwenza !!

good luck mate .. but trust no one on-line
 
Hahahahah!!! nimecheka hadi nimelia!!!!

Eti staki mwanamke mwenye harufu chafu au mdomo mchafu!!!! mara maziwa makubwa!!! Haya baba yote haki yako!!! tuombe umpate!!!

Ila umenikumbusha story moja niliisika kanisani kwetu... kuna binti alikuwa anatafta mchumba, akawa hapati, tafuta weee, siku moja mzee mmoja akamuuliza hivi wewe mbona hupati mchumba, hebu andika vigezo vya mchumba unayemtaka halafu uniletee nisome...binti kaandika kamplekea yule mzeee.... hahahah...mzee kacheka kweli akamwambia yule binti, yani we unamtaka Yesu??? maana mwanadam wa hivi hamna.... LOL
 

hehehe.. mkuu anataka wa namna hii

 
hapana inaruhusiwa kutafuta wachumba au wake au waume kwenye mtandao man ila inahitaji waishi nae muda mrefu kabla ya ndoa ili kuzoeana mbona wazungu wengi wanatafuta wachumba mitandaoni mpaka wanafikia hatua ya kuoana na kuzaa vizuri tu kuna watu wanafunga safari toka marekani kuja ulaya baada ya kupata wake au waume kwenye mitandao pia hata hapo bongo mbona wanaume au wanawake wengi tu wanaoana na watalii ambao huja kwa kipindi kifupi hapo na kuna wengine wanakutana kwenye mitandao mie nina jamaa zangu wengi tu wameoa kupitia mitandao na ndoa zao zimetulia sana!
acha kutafuta wachumba kwenye mtandao, rudi kijijini wazee wakutafutie mke mwema kama huwezi tafuta mwenyewe, acha mambo ya mitaani
 
:lol::lol::lol::lol::lol: haaaa mbavu zangu mie..

yuko wapi mtoa mada mbona kakimbia..:lol::lol:
 


Hivi wewe kaka kama utongozaji wenyewe ndo huo naona hutopata mke.
Uinjinia na mapenzi mbona vitu tofauti<<
Kama mdomo kunuka au harufu ya mdomo ndo vitu unavyoangalia nakupa pole kwa kuwa ukimpata ambaye hanuki mdomo leo na kesho ukaanza kunuka utafanyaje?? Inaonyesha hujakomaa masharti yenyewe kibao!
 
injinia bwana rudi,do not give in kwa haya mashushu kila mtu na choices zake in life,you are entitled to it.....
 
maziwa makubwaa..lol..tamaa au[/QUOTE

do not go food-shopping when you are hungry,you will end up buying junkies....injinia labda ana ukame wa kuwa single for a while ,,,nye...ge tupu lol
 

Tunakushangaa! Maana ni full upupu!
 

na doubt degree yako

mwanmke mwenye mume unaenda kumfanya nini ama usomi unachoandika???au na wewe wataka kuwa mume wa pili kwake@@
 
na doubt degree yako

mwanmke mwenye mume unaenda kumfanya nini ama usomi unachoandika???au na wewe wataka kuwa mume wa pili kwake@@
Soma vizuri mkuu Pdidy au una haraka ya kwenda kutoa albamu mpya.
 
<p> </p>
<p>&nbsp;</p>

hivi wewe huyo mchumba unamtafuta kisa ni hicho kidigrii chako cha injinia au ni huo usharaboro wako unakusumbua? acha drama eti usafiri ninao, napenda hips, maziwa makubw muhimu siunde kwenye mitandao ya xoxo ukajichagulie maziwa na hips mchsssssu!
 
dah! injinia kabamizwa kweli kwenye hii sredi. na kwa hali ilivyo hata akuje na lawyer wa Maiko Jordan hii sredi haiwezi kufanikiwa tena.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…