Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 13,733
- 27,094
" Awe muelew a na utayari wa kuingia kwenye uhusiano wa kuelekea ndoa." Inaelekea unatabia ya kujidai kichwa Cha familia
Kuna nini rafiki?Inamaaana hamuoni kabisa dronedrake Glenn Extrovert Mzee wa kupambania MLEVi Mmoja Carlos The Jackal Equation x Liverpool VPN
Kwamba hamuoni au😆
Haha wewe unamtafutia mwenzio...wewe je?Inamaaana hamuoni kabisa dronedrake Glenn Extrovert Mzee wa kupambania MLEVi Mmoja Carlos The Jackal Equation x Liverpool VPN
Kwamba hamuoni au😆
😃😃😃😃😃😃😃badoHaha wewe unamtafutia mwenzio...wewe je?
Ujumbe umefika mama😃😃😃😃😃😃😃bado
🚶Inawezekana tu mbona
Ila hii kitu hiiiAkitaka friends with benefits nipo hapa 😀
Lakini umenikosea kiasi kuniweka kati na Mzee wa kupambania na MLEVi Mmoja 😂😂😂😂Inamaaana hamuoni kabisa dronedrake Glenn Extrovert Mzee wa kupambania MLEVi Mmoja Carlos The Jackal Equation x Liverpool VPN
Kwamba hamuoni au😆
Sifa hizo anazo dronedrakeHello JF users.Niko jukwaani kutafuta mwenza(mume)
Sifa zangu;
Jinsia- mwanamke
Dini-mkristo
Umri-30+ yrs
Elimu-Degree moja
Mtoto-Mmoja 10 yrs
Ajira-Niko private sector
Ninayemuhitaji awe Mkristo;
32-40yrs
Awe na kazi halali
Asiwe kwenye ndoa kwa sasa
Awe muelewa na utayari wa kuingia kwenye uhusiano wa kuelekea ndoa.
Elimu ya chuo kikuu(itapendeza)
Nb:Siko Dar es salam niko mkoani.
Karibuni Pm au email appletofaa95@gmail.com
Cheers!
😆😆😆😆😆😆Utani huo bwana....hapa lazima akubali mechi anagalau ianze moja moja
Oeni😅😅😅Lakini umenikosea kiasi kuniweka kati na Mzee wa kupambania na MLEVi Mmoja 😂😂😂😂
Extrovert kunakosea wapi kaka hadi
Amehlo atutafutie mke?
Hahaha umejuaje hatuna?Oeni😅😅😅
😀😀😀😀thubutuHahaha umejuaje hatuna?