Natafuta mwenza (mme)

Status
Not open for further replies.
...miaka 30 - 45, wa kawaida sio mbaya sana awe mzuri kiasi chake, awe romantic, anayejua maana ya mahusiano, kupenda, kujitoa etc,asiye mweny gubu, wala asiwe mgomvi, mimi ni wa kawaida tu ila nina sifa zinazofana na hizo
kwan kuna binadam mbaya?? au hapo kwenye red umemaanisha nin??
 
Moja, umekosea sana kutoa namba ya simu kwa maana ya mawasiliano yako ya karibu, hapa wanapita watu wengi na ndo maana mmoja keshajuwa jina lako na kalianika hapo chini,,na bila shaka katumia huduma ya M-pesa kujua hilo, pili kaa makini wanaume wengi wanaongozwa na hisia, utapata, atamega, atasepa. kutia chata ndo kazi ya wengi wetu, ukitaka amini kuna wenye tamaa hapa, tumia akaunti mbili tofauti kutoa maombi ya namna hii...weee! utaona vituko, kuwa makini.

lakini hata huko ulipo, mtaani, kazini, nyumba za ibada unakosali/swali nadhani kuna wenye sifa ulizo hitaji, kinyume na hapo, there is something on you! KILA LA KHERI
 
dah hivi na wewe una tatizo kama langu , yani sipati hata muda wa kusocialize na watu nikitoka job naenda review class mpaka 2 unusu ucku monday to monday , dah yani siku zinasonga tu ,
 
...caring, mwaminifu, charming, mwenye hofu ya Mungu, christian, smart in evrything,mwelewa, gud thinking capacity(IQ), miaka 30 - 45, wa kawaida sio mbaya sana awe mzuri kiasi chake, awe romantic, anayejua maana ya mahusiano, kupenda, kujitoa etc
This is too ideal, sidhani kama utampata mwanaume mwenye vigezo vyote hivyo hapa duniani, labda ukatafute sayari ya Mars

Wakati natafuta mchumba kuna rafiki yangu aliwahi kuniambia (baada ya kuona nachagua sana) kwamba ukitaka asiye na kasoro oa dada yako!!!
 
Niachieni tafadhali. Naenda hewan sasa hiv. Ila kwa id yangu hii ya 'hovyohovyo' na vigezo vyake..
 
Sayari ya Mars nasikia kuna viumbe wapo kule, labda ndo wanazo izo qualities..
 
mwembamba kiasi, mrefu, awe msomi at list first degree, independent mind, caring, mwaminifu, charming, mwenye hofu ya Mungu, christian, smart in evrything,mwelewa, gud thinking capacity(IQ), miaka 30 - 45, wa kawaida sio mbaya sana awe mzuri kiasi chake, awe romantic, anayejua maana ya mahusiano, kupenda, kujitoa etc

Jibu lipo katika maneno ya blue,....

MUOMBE MUNGU,atakupa mwenye hofu yake, ila kuna vigezo vingine umeweka havina hata umuhimu, mi nadhani ungetumia muda kujieleza wewe na background yako kitabia, maana u just said we wakawaida but tabia je?vilevile mabinti mnaotafuta huwa mkituma picha watu huwa wanaziogopa, sauti ya kwenye simu na picha tofauti...

MUOMBE MUNGU kwa hili utapata Mume bora.

"Mke mwema hutoka kwa Mungu and vice versa is TRUE" wala wakati mwingine si vigezo vingi peke yake
 
Tatizo Lako unataka vyote kwa pamoja mapenzi na pesa,wenye umri huo Hawana mapenzi wana pesa wenye mapenzi ni wale juniors na wao hawana pesa na ndio wanamapenzi kwa wale wazee labda dada yangu Huruma unataka Kuwa mke aw pili nakuendelea coz si rahisi miaka 45 bado yuko single Mara nyingi atakuwa Ana matatizo
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom