Natafuta mwenza (mme)

Status
Not open for further replies.
Safi naona umeamua sasa...maamuzi mazuri sna, nimependa hakuna kona kona cmu iko live...napita 2.
 
Huyu mrembo kaweka wazi, mwenye vigezo hivyo si ajitokeze?..hana fedha ya kulipia bili ya haki ya msingi ambayo Mwenye enzi Mungu ndio CHIMBUKO KUU la hitaji lake....anyway umepita lakini umeacha "alama za miguu yako".
 
Usipopata PM yoyote, please nijulishe nijitose. Wengine ni slow hunters, ngoja cheeters wakurupuke kwanza.
 
kwa kifupi dada umechelewa, yani umeweka vigezo vya kama unaomba kazi vile, duuh makubwa haya///
 
Ninajua huyu tayari ameshabadili namba kwa usumbufu na anajuta kuiweka hapa
 
Jieleze kama unavutia...maana usije ukawa unataka bonge la hb wakati wewe mwenyewe umepigika hatariiii..
 
Kwa sifa hizo! Angalia sana unaweza ukajioa mwenyewe, coz sifa hizo unazo pekeyako, worse enough huenda hata ww mwenyewe hauna !!
 
Mashart kibao wakati we ndo unatafuta wa kukupiga na mkia, ng'ang'ania sasa hivyo vigezo vyako kama utamuona hata wa kukubeep.
 
Mmh, thats too much. Haya kila la kheri. Ukifanikiwa njoo tuambizane.
 
Jamani acheni kejeli, huyu binti yuko serious.. ambaye yuko willing na search kama yeye awasaliane nae atamjua in details... mi napita tu.. ukifanikiwa utujuze mwaego..
 
HAdi leo atakuwa keshapata..........dadatuambie kama umepata ili tuwe na uhakika na JF yetu.
 
Am looking for a husband,

Sifa: mwembamba kiasi, mrefu, awe msomi at list first degree, independent mind, caring, mwaminifu, charming, mwenye hofu ya Mungu, christian, smart in everything, mwelewa, gud thinking capacity(IQ), miaka 30 - 45, wa kawaida sio mbaya sana awe mzuri kiasi chake, awe romantic, anayejua maana ya mahusiano, kupenda, kujitoa etc, asiye mwenye gubu, wala asiwe mgomvi, mimi ni wa kawaida tu ila nina sifa zinazofana na hizo.

Nina miaka29. namba yangu ni 0762 ......

hii namba sijui ya peponi ama? namba yangu ni 0762 .....
 
Purple, Mbona huyu dada keshapata? Muulize tu atakwambia. Naona kwa furaha ya kumpata mwenza amechelewa kushukuru hapa JF.

Dada

Ukiona hii tafadhali waambie wanajamii kama Mungu amekutendea. Ila mimi naamini umeshapata mume.
 
Mkuu hiyo namba sio ya peponi bali ni code number tu ya namba yake....namba yake ilikuwa iko yote hapa ila naona moderator kaiondoa. ukim-PM atakupatia na wala usitie shaka....Jiamini na uamini kuwa yote yawezekana, ila nilimsikia kuwa keshapata mtu wake tena ni humu humu jamvini. Nasema hivi kwa kuwa namfahamu vizuri sana huyu dada....Ni mtu mwaminifu sana tena ni mcha Mungu mzuri tu. kusema ukweli ananifahamu vizuri pia na kama ningekuwa sijaoa ningejitahidi kumleta karibu na isingekuwa kutangaza nia peke yake, bali kuandaa na mipango ya harusi on the spot.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom