Natafuta mwenyeji Mwanza

Wgr30

JF-Expert Member
Jan 22, 2017
1,770
2,383
Pamoja wakuu!!

Nina safari ya mwanza kesho kutokea kahama, sina mtu ninaefahamiana nae huko niendako na nitakuwepo kwa zaidi ya miezi 2 kikazi.

Naomba kwa wadau walioko humu wa mwanza naja naomba mapokezi yenu!!
 
Back
Top Bottom