Natafuta mwenyeji mwanza mmu members

Mwambie mimi ndo nimekuja mwanza nipo tai hotel mwanza....
Aseme nimuwekegee booking kabisa...

Atachanganyikiwa bure hapo ukute anafikia kwa ndugu huko bugarika
 
Reactions: amu
Niko tayari kuwa mwenyeji wako naishi mwanza eneo la kirumba mtaa wa mbuke karibu na lakairo hoteli.nitafute kwa number 0754676691
 
Reactions: amu
Atachanganyikiwa bure hapo ukute anafikia kwa ndugu huko bugarika

Ha ha na kweli looo....
Mwache aje asafishe macho.....
Halafu kama una hela wenyeji utawapata tu hata kuajirri mtu ukampa 20,000 atakutembeza mji mzima.
Huyu mleta mada njaa tupu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…