Jiunge na SACCOS na VICOBA halafuu unakunywaga wanzuki?🙂Habari Zenu Wakuu, Mimi ni Mfanyabiashara wa Biashara ya UWAKALA ( Electronic Money Transactions ), nina uzoefu nayo sana toka mwaka 2018.
Ipo miamala ya simu kama; Tigo Pesa, M-Pesa, Airtel Money, T-Pesa, HaloPesa na Azam Pesa
Pia miamala ya Bank kama; CRDB, NBC, NMB, TCB, UBA, ACB, AMANA, EXIM, EQUITY, AZANIA, MKOMBOZI na STANBIC
Nachohitaji ni Mwekezaji wa Mtaji ( CASH ) ili tuweze kutengeneza faida na kugawana kwa makubaliano maalum. Fremu ya Biashara ipo Barabarani kituo cha mwendokasi, sehemu ambayo ni njia panda kwenye mzunguko mkubwa wa Biashara. Nilichokosa ni mtaji tu ila vitendea kazi vyote vipo na wateja ninao wengi sana changanya na wapita njia Kwasababu ni kitua cha abilia, lete mtaji tugawane faida na nguvu kazi mimi mwenyewe. Tunaandikishiana Mbele ya Mashahidi pande zote mbili na ikibidi mbele ya Mwanasheri, Siku unaamua kutoa Mtaji wako, unauchukua kama ulivyo haipungui hata senti moja kwasababu hii sio biashara ya kununua bidhaa.
Na Upigaji Wa Hesabu ni mwepesi kwasabu nadili na miamala tu hivyo ukiweka pesa yako inabidi isipungue bali iongezeke kutokana na kamisheni tutazotengeneza.
Faida (kamisheni) ikitoka haina kificho kwasabu wanakutumia.
ujumbe wa faida yako (Kamisheni) mwisho wa mwezi. Bahati mbaya sms imefutika, tunapiga simu mtandao husika na wanakutajia kamisheni yako.
Mawasiliano 0768 828082, hii Namba ina WhatsApp pia
Star_nley zingatia alichosema huyu mdau. Hakuna mtu wa kukubali ku share biashara wakati ana mtaji alafu ashindwe kutafuta laini za MPESA, TigoPesa, nk.shida yetu wabongo ni uaminifu tu
Kama million ngapi mkuu?Habari Zenu Wakuu, Mimi ni Mfanyabiashara wa Biashara ya UWAKALA ( Electronic Money Transactions ), nina uzoefu nayo sana toka mwaka 2018.
Ipo miamala ya simu kama; Tigo Pesa, M-Pesa, Airtel Money, T-Pesa, HaloPesa na Azam Pesa
Pia miamala ya Bank kama; CRDB, NBC, NMB, TCB, UBA, ACB, AMANA, EXIM, EQUITY, AZANIA, MKOMBOZI na STANBIC
Nachohitaji ni Mwekezaji wa Mtaji ( CASH ) ili tuweze kutengeneza faida na kugawana kwa makubaliano maalum. Fremu ya Biashara ipo Barabarani kituo cha mwendokasi, sehemu ambayo ni njia panda kwenye mzunguko mkubwa wa Biashara. Nilichokosa ni mtaji tu ila vitendea kazi vyote vipo na wateja ninao wengi sana changanya na wapita njia Kwasababu ni kitua cha abilia, lete mtaji tugawane faida na nguvu kazi mimi mwenyewe. Tunaandikishiana Mbele ya Mashahidi pande zote mbili na ikibidi mbele ya Mwanasheri, Siku unaamua kutoa Mtaji wako, unauchukua kama ulivyo haipungui hata senti moja kwasababu hii sio biashara ya kununua bidhaa.
Na Upigaji Wa Hesabu ni mwepesi kwasabu nadili na miamala tu hivyo ukiweka pesa yako inabidi isipungue bali iongezeke kutokana na kamisheni tutazotengeneza.
Faida (kamisheni) ikitoka haina kificho kwasabu wanakutumia.
ujumbe wa faida yako (Kamisheni) mwisho wa mwezi. Bahati mbaya sms imefutika, tunapiga simu mtandao husika na wanakutajia kamisheni yako.
Mawasiliano 0768 828082, hii Namba ina WhatsApp pia
0768 828082Kama million ngapi mkuu?
Kinachomata mda ambao utatumia kupata bank zote hizo nilizoziorodhesha, location nzuri ya biashara na mtu mwenye experience sio unatapeliwa mtaji mzimaStar_nley zingatia alichosema huyu mdau. Hakuna mtu wa kukubali ku share biashara wakati ana mtaji alafu ashindwe kutafuta laini za MPESA, TigoPesa, nk.
0768 828082 Dar es SalaamUnavyosema mtaji ni kuanzia kiasi gani mkuu? Siyo Vibaya ukasema Upo wapi
Kwa nini usiweke hapa mkuu kila mtu akaona. Unataka mwekezaji, ingekuwa vyema ukataja na kiasi unachotaka.0768 828082 Dar es Salaam
BLack people in general ni tatizo , mimi hata nikienda nje ya nchi kufanya biashara na mtu mweusi nina experience mbaya sanaHongera kiongozi. Nakushauri uingie bank ukope, kwa kuwa Tanzania bado hatuna uaminifu kiivyo
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Ilikuaje mkuu, unaweza kushare nasi hiyo experience yako.BLack people in general ni tatizo , mimi hata nikienda nje ya nchi kufanya biashara na mtu mweusi nina experience mbaya sana
Inategemea na Nguvu ya mwekezaji hii biashara inahitaji kadili unavoweka pesa kubwa na faida inapanda zaidi ila kuanzia milioni 10 kwenda juu hivi ndo vizuri zaidi lakini maongezi yapo kama itakuwa ni kuweka kwa awamuKwa nini usiweke hapa mkuu kila mtu akaona. Unataka mwekezaji, ingekuwa vyema ukataja na kiasi unachotaka.
Tangazo umeleta jukwaani, ila ukiulizwa maswali unataka watu waje Whatsapp, hii maana yake nini?. Halafu maswali unayoulizwa ni rahisi sana.
zakuambiwa changanya na zako ikitokea yani mtaji utaopata, wazee wa kazi majambazi wamekuja wameondoka nao vipi inakuaje hapo? biashara inakua imeisha au tutaweka mlinzi, tutakata na bima au, lakiini una dhamana gani wewe? au ndio huo mlango tu huna hata nyumba, kiwanja jieleze vizuri ndugu usitafute mwekezaji kihuni, kweli jamani line za mpesa ziwe dhamana hii nchi uhuru umepita mipaka kweli yani line tu ndio dhamana, mi nadhani IFIKE WAKATI KUTAFUTA MWEKEZAJI KWA NAMNA HII IWE KOSA LA JINAI.