AARONI ULAYA
Member
- May 13, 2013
- 33
- 11
Ndugu zangu sina maneno mengi kama wewe ni Mwandishi wa Vitabu nitafute kwa namba 0625568600 au kama unamjua mwandishi niunganishe naye tafadhari apate kazi nzuri
Author au publisher be specific usaidiwe, hao ni watu wawili tofauti ila kwa kiswahili hutumia neno moja muandishi.Ndugu zangu sina maneno mengi kama wewe ni Mwandishi wa Vitabu nitafute kwa namba 0625568600 au kama unamjua mwandishi niunganishe naye tafadhari apate kazi nzuri
Kaisha sema boss anatafuta mwandishi wa vitabu na sio mchapishajiAuthor au publisher be specific usaidiwe, hao ni watu wawili tofauti ila kwa kiswahili hutumia neno moja muandishi.
Mwandishi anaandika content zake, kutoka kichwani mwake yeye anataka wa nini? kumpa kipi cha kuandika wakati haijui content? Au anahotaji publisha kumpublishia kitabu chake?Kaisha sema boss anatafuta mwandishi wa vitabu na sio mchapishaji
BTW neno sahihi ni ''tafadhali''. Huwa nasikitika sana kuona jinsi neno linalotumiwa kila siku kama ''tafadhali'' likiwashinda watu wengi kuandika.Ndugu zangu sina maneno mengi kama wewe ni Mwandishi wa Vitabu nitafute kwa namba 0625568600 au kama unamjua mwandishi niunganishe naye tafadhari apate kazi nzuri