Natafuta mwanaume wa kunioa

It
Kwa aliyetayari kwenda kwenye hatua hii.

Najua wengi mtajiuliza kama huko mtaani sikutani na wanaume, kwanza wanaume wapo wengi mtaani lakini kutokana na nature yangu mimi mizunguko yangu huwa ni kwenye shughuli zangu na kurudi home.

Ninao kutana nao wengi kwanza hawaamini kama nipo single na wengine ni waume za watu hivyo inanipa wakati mgumu naishia kubaki single.

Umefika muda nataka kutulia kuwa mke kwa mume na mama wa familia, nitafurahi kama nikipata mtu mwenye interest hizo. Najua kuna wanaume wengi tu wapo tayari kuoa lakini kwenye circle yao hawaoni watu walio tayari kama ilivyo upande wangu.

Naomba niweke vitu vya muhimu ambavyo ningependa muhusika awe navyo angalau;

Vigezo

1) Awe anaishi Dar preferably, mikoa mingine long distance relationship ni tatizo, Dar atapewa kipaumbele zaidi.

2) Awe na kipato stable cha kumudu familia yake, nikimaanisha kuanzisha familia isiwe mzigo kwake, au mpaka ajipange. Mtu ninaemuongelea hapa ni ameshajipanga kuoa.

3) Awe ni mtu ana utu na hofu ya Mungu, mkristu R.C Au K.K.T itapendeza.

5) Mrefu asiwe chini ya 170cm.

6) Ambae hana mtoto au kama ana mtoto mmoja akizidi mmoja ni changamoto haswa kama kwa mama wawili tofauti.

7) Umri miaka 33 kuendelea.

8) Awe mtafutaji, amechangamka. Kuna wanaume wapo wamezubaa jamani, mtu anaeridhika na maisha kirahisi itakuwa changamoto maana mimi nipo sharp, pia nikipata sharp mwenzangu tutaenda sawa.

9) Awe na mpango wa kuoa mwaka huu, mimi si mtu complicated, aina ya ndoa just a simple one. Kama wote tuna nia moja kila mtu ameamua kutulia naamini inawezekana.

Sifa zangu

~ Ni mrefu, maji ya kunde, umbo la wastani; sio mwembamba sio mnene, umri miaka 27.
~ Nimejiajiri.
~ Sina mtoto.
~ Mcheshi kiasi, mkimya kiasi.
~ Mengine tutaelewana tukishaongea Mungu akijalia huko PM.
Picha
 
Jifunzeni kuleta mrejesho mkifanikiwa

Nilifanikiwa mkuu,asanteni sanaaa
Leo nimeamua kupitia huu uzi maana sikusoma feedback kipindi kile

Mtu niliempata ni opposite na bandiko langu kabisa ila ndio tunapendana hatari
 
27 jua la Magharibi hilo unakuja na masharti kibao kama unaenda white house. Miaka 27 umeshachomoa mimba ngapi? Usiseme haujazaa kumbe umezaa watoto wamefariki.

Mkuu hakuna kitu kizuri kama kujua unachotaka,niliweka standards kubwa na nikiri hio bar mwamba ameiweka ni wanaume wachache sana wanaweza kuifikia.
Na jua la magharibi ila nilipata mtu mwenye vigezo ninavyo taka
 
Mungu akupe haja ya moyo wako lakini achana na hilo wazo la kufunga ndoa mwaka huu, kuwa makini usiwe na haraka ya namna hiyo haya mambo yanahitaji kwenda nayo taratibu.

Ni kweli kabisa mambo yalikuwa mengi mno kidogo nikate tamaa,ndoa imekuja mwaka huu
 
Kwa aliyetayari kwenda kwenye hatua hii.

Najua wengi mtajiuliza kama huko mtaani sikutani na wanaume, kwanza wanaume wapo wengi mtaani lakini kutokana na nature yangu mimi mizunguko yangu huwa ni kwenye shughuli zangu na kurudi home.

Ninao kutana nao wengi kwanza hawaamini kama nipo single na wengine ni waume za watu hivyo inanipa wakati mgumu naishia kubaki single.

Umefika muda nataka kutulia kuwa mke kwa mume na mama wa familia, nitafurahi kama nikipata mtu mwenye interest hizo. Najua kuna wanaume wengi tu wapo tayari kuoa lakini kwenye circle yao hawaoni watu walio tayari kama ilivyo upande wangu.

Naomba niweke vitu vya muhimu ambavyo ningependa muhusika awe navyo angalau;

Vigezo

1) Awe anaishi Dar preferably, mikoa mingine long distance relationship ni tatizo, Dar atapewa kipaumbele zaidi.

2) Awe na kipato stable cha kumudu familia yake, nikimaanisha kuanzisha familia isiwe mzigo kwake, au mpaka ajipange. Mtu ninaemuongelea hapa ni ameshajipanga kuoa.

3) Awe ni mtu ana utu na hofu ya Mungu, mkristu R.C Au K.K.T itapendeza.

5) Mrefu asiwe chini ya 170cm.

6) Ambae hana mtoto au kama ana mtoto mmoja akizidi mmoja ni changamoto haswa kama kwa mama wawili tofauti.

7) Umri miaka 33 kuendelea.

8) Awe mtafutaji, amechangamka. Kuna wanaume wapo wamezubaa jamani, mtu anaeridhika na maisha kirahisi itakuwa changamoto maana mimi nipo sharp, pia nikipata sharp mwenzangu tutaenda sawa.

9) Awe na mpango wa kuoa mwaka huu, mimi si mtu complicated, aina ya ndoa just a simple one. Kama wote tuna nia moja kila mtu ameamua kutulia naamini inawezekana.

Sifa zangu

~ Ni mrefu, maji ya kunde, umbo la wastani; sio mwembamba sio mnene, umri miaka 27.
~ Nimejiajiri.
~ Sina mtoto.
~ Mcheshi kiasi, mkimya kiasi.
~ Mengine tutaelewana tukishaongea Mungu akijalia huko PM.
Ni PM
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom