Juma chief
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 2,757
- 2,356
Wanaume siku hizi wanatafutwa kama nafasi za kazi.....
Halafu maaaangiiiii.......
Halafu maaaangiiiii.......
hehehee dorooooo...punguza jazba basi ulikuwa wapi siku zote naona uliompata kakuta kuna maji kakukimbia sasa unakuja kumalizia hasira kwetu.....nimeona huruma maana mi ni mzigo kweli ila kwa jinsi ulivyonijibu hata wewe hubebeki endelea kuuza kei tu..
NOO my Friend am A man who screws Ladies hii chemistry huwezi kuielewa wewe its sophisticated..sema nlikuaga naskia Tu am Just puzzled i Met One!!!!!yeah jus like u...it seems that ur looking for a husband coz mwanaume halisi hawez kuchangia uozo ule wako
hehehe iweke sasa kwenye historia;halaf mwanaume halisi huwa anaangalia na vitu vya kuchangia.think....NOO my Friend am A man who screws Ladies hii chemistry huwezi kuielewa wewe its sophisticated..sema nlikuaga naskia Tu am Just puzzled i Met One!!!!!
na we uliefaulu darasani ungepita kimyakimya, ulivonikoti unaonekana na we kilaz.a!ndo maana mnafeli darasani....kama huna la kuchangia"nyamaza mbona simple
mm nipo tayari kua na ww ila nataka uwe unanilea maana ww umekua ndo mwanaume unanitafuta ...Mimi nina 27yrs.
Mchaga.
Nina diploma.
Mimi siangalii sana muonekano wa nje awe na 30+yrs.
Mkristo.
Muajiriwa/aliyejiajiri.
Naomba yule aliyeserious aniPM tufahamiane zaidi.
alikuwa nayo kabla hajanizaa mimi ila mke wangu alikuwa nayo na ndio maana nilimuoamama ako anayo??
Nikwambie kitu ndg yangu. Mila zile za kale za mababu, zilikuwa na maana njema kabisa.Huwezi kwenda kwenye hatua ya mume na mke bila kupitia urafiki, upenzi, uchumba n. k au samahani mume ni nani anapatikana vipi
Shemale?the opposite of that..
Ashakuambia hataki muislamu,.. Mnataka kujaza idadi ili apate kazi kwenye mchujo! Subiri zamu yako mkuu, hii ni fursaMimi muislam vp
Wewe bikra?Umesha tembea na wangapi mpaka sasa?
Me natafuta bikra.
Asante kwakunilea vizuriAshakuambia hataki muislamu,.. Mnataka kujaza idadi ili apate kazi kwenye mchujo! Subiri zamu yako mkuu, hii ni fursa