Keshakimbia. Hata hela ya bundle hana
Amekimbia? Aa wapi.. Watu wanatekenya kiboga sasa hivi huko .. Muda wa kuja hapa JF ataipata sa gapi
Mi sitoki humu, namsubiri
umenifurahisha kuliko hata mwenye thread hiiMi sitoki humu, namsubiri
duh watu humu ni nuksi,utamsubiri hadi saa ngapi............:A S 39:
Mwanaume suruali we! Unaogopa malipo? Usihofu ntalipa,niPM basiUtalipa gharama?