Natafuta Mwanaume mwenye VVU

Ubaguzi huo...kuwa na VVU si sababu ya kujitenga kimahusiano na wasiokuwa na VVU. Kupenda ni kupenda tu, uwe au usiwe na VVU, zipo discordant couples nyingi tu na wanapendana kwa dhati!



Kwaiyoo wewe ukipenda mwanamke mweusi weupe umewabagua?? Anavyotaka mwenye VVU ni kigezo chake. Mambo ubaguzi ni wewe unayaingiza hapa.
 
Upate hitaji la moyo wako.
Hongera kwa kuwa muwazi katika jamii..
Ila isije kuwa unafanya kautafiti, coz kuna watu wana tabia hizo..
Kila lenye heri...!
 
short-natural-hairstyles-for-african-american-women-10.jpg



Haya jilipueni, kitu chenyewe hiki hapa
 
Pole nakuombea upate hitaji la moyo wako.....
leo viherehere siwaoni kila mtu pole
 
Pole sana na pia hongera kwa ubinadamu mkubwa uliokuwa nao wa kutoamua kuwaathiri wengine kama wafanyavyo baadhi ya Waathirika, Mungu akubariki sana kwa hilo na kila la heri katika utafutaji wako.
 
Wengine wanabagua wakati wao hawajawahi hata kupima VVU. Nashangaa JF ina GTs ambao bado wana stigmatization. Wengi wamepata VVU bila kujua wapi walijikwaa. Waliletewa. Kuwa na VVU haimaniishi wewe ulikuwa mhuni sana au mwenye sifa kama hizo. Ukiwa katika mahusiano chance ya kupata VVU ni kubwa sana.
Jamani naomba u moderator hata wa dakika kumi.
 
hata mm nashangaa wa2 weng hawajawah hata kupima ila wanatoa maneno ya ajabu pimen muwe huru na furaha kama n nilivyo jion njema
 
hivi hawa wanaongea vibaya kuhusu hii post wanajua kesho yao... kizazi hiki hakikimbii VVU Im sure 10000%.

na wala c jambo la kudharau kwan hauna mtot wala mkubwa na kwa uraian ndo utasema hakuna kwa maana kila umuonaye utasema yuko saf kumbe ana yake
 
Hi, Dine hongera sana kwa ujasiri wako. I know wengine watakubeza, na wengine watakusupport. I understand Dr Riwa anaongea kotokea angle ipi
ndo maana wengi wetu hatumwelewi vizuri, but alitaka ujenge kujiamini zaidi na waweza kuolewa hata na mtu asiye na vvu ili mradi tu awe na dhamira ya dhati.
Plz understand kila kitu chini ya jua inawezekana uwe tu na subira
 
Pole sana na pia hongera kwa ubinadamu mkubwa uliokuwa nao wa kutoamua kuwaathiri wengine kama wafanyavyo baadhi ya Waathirika, Mungu akubariki sana kwa hilo na kila la heri katika utafutaji wako.

Pole ya nini tena?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom