Natafuta Mwanaume mwenye VVU

naona pole zimejazana kibao kana kwamba amekuja kutafuta huruma zenu! sio vizuri bana mtafutieni dada mchumba.
 
Pongezi mleta mada. Umekuwa mkweli na ukweli utaendelea kukuweka huru. Mungu akutane na hitaji la moyo wako.
 
Ubaguzi huo...kuwa na VVU si sababu ya kujitenga kimahusiano na wasiokuwa na VVU. Kupenda ni kupenda tu, uwe au usiwe na VVU, zipo discordant couples nyingi tu na wanapendana kwa dhati!

natamani kupata maelezo zaidi hapo
 
Naomba kwanza nimtakie kila la heri muanzisha mada. Maisha ni safari ndefu; hakuna mwenye uhakika wa wakati, mahali, na namna atakavyo maliza safari yake........
 
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 33 ninaishi na VVU natafuta mwenza ambaye naye ana VVU umri 33 had 40 mm ni mwajiriwa katika kampuni moja tafadhal nipo serious mimi natumia dawa na nipo na afya njema huwezi nijua naomba kwa aliye serious anitafute kwa pm na awe mkristo maana mimi ni mkristo.
Nikweli kuwa utampata mwenza ila una kilo ngapi na urefu gani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom