Mimi ni mwanamke mwenye miaka 33 ninaishi na VVU natafuta mwenza ambaye naye ana VVU umri 33 had 40 mm ni mwajiriwa katika kampuni moja tafadhal nipo serious mimi natumia dawa na nipo na afya njema huwezi nijua naomba kwa aliye serious anitafute kwa pm na awe mkristo maana mimi ni mkristo.