Kalijo
Member
- Oct 2, 2016
- 17
- 7
nitafute kwa namba 0755855237Habari zenu wadau nimekuja kwenu mara nyingine rafiki nimepata sasa natafuta mwanaume ambae atakua baba wa famiilia ntampenda na kumlinda,sifa zangu umri 25,mkristo,kazi nafanya kazi ya kufulia watu nguo majumbani kwao.Mwanaume ninae mtaka awe na nia ya kuoa na mwenye mapenzi ya dhati anipende kama anavyo wapenda ndugu zake wa kike,sitaki mwanaume mwenye mfumo dume daima
mengine kuhusu mimi tafadhari in box
,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
...........................................................................................................................................