Natafuta mwanaume ambae atakuja kuwa baba watoto

Habari zenu wadau,

Nimekuja kwenu mara nyingine, rafiki nimepata sasa natafuta mwanaume ambae atakua baba wa famiilia nitampenda na kumlinda, sifa zangu umri 25, mkristo, kazi nafanya kazi ya kufulia watu nguo majumbani kwao.
Mwanaume ninae mtaka awe na nia ya kuoa na mwenye mapenzi ya dhati anipende kama anavyo wapenda ndugu zake wa kike, sitaki mwanaume mwenye mfumo dume daima
mengine kuhusu mimi tafadhari in box.
:):):):):):):):):):):):):):):):):):):):):):):):):)
Okay nadhani mme nimepatikana naomba nami nikupe vigezo vyangu
 
Habari zenu wadau,

Nimekuja kwenu mara nyingine, rafiki nimepata sasa natafuta mwanaume ambae atakua baba wa famiilia nitampenda na kumlinda, sifa zangu umri 25, mkristo, kazi nafanya kazi ya kufulia watu nguo majumbani kwao.
Mwanaume ninae mtaka awe na nia ya kuoa na mwenye mapenzi ya dhati anipende kama anavyo wapenda ndugu zake wa kike, sitaki mwanaume mwenye mfumo dume daima
mengine kuhusu mimi tafadhari in box.​
:):):):):):):):):):):):):):):):):):):):):):):):):)
 
Zidi kumuomba M'mungu kwa imani yako nina imani ipo siku utafanikiwa mana kila jambo lazima kumtanguliza mungu.
 
Habari zenu wadau,

Nimekuja kwenu mara nyingine, rafiki nimepata sasa natafuta mwanaume ambae atakua baba wa famiilia nitampenda na kumlinda, sifa zangu umri 25, mkristo, kazi nafanya kazi ya kufulia watu nguo majumbani kwao.
Mwanaume ninae mtaka awe na nia ya kuoa na mwenye mapenzi ya dhati anipende kama anavyo wapenda ndugu zake wa kike, sitaki mwanaume mwenye mfumo dume daima
mengine kuhusu mimi tafadhari in box.​
:):):):):):):):):):):):):):):):):):):):):):):):):)
Akupende kama anavyowapenda dada zake, MTAZAA KWELI..??
 
Back
Top Bottom