natafuta mwanamke

natafuta mwanamke

nzalendo, ni-PM bana tukaanze maisha
Though siwezi kutumia jiko la kuni, nitakuja na mtungi wangu wa gas
 
Last edited by a moderator:
Wanaume mnaotafuta wapenzi humu punguzeni vigezo jamani. Ni vizuri uwe na vigezo vichache watu wakikupm katika kuwasiliana unaweza bahatisha mpenzi utakae mpenda na kuendana na maisha uliyo nayo. Vigezo vingi vitasababisha kuogopa kujaribu bahati yake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom